Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Je huyu naye ni kijana?

Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Je huyu naye ni kijana?

Mimi mwenyewe nilishangaa sana siku waliposema eti ni katibu wa UVCC.

CCM wanavyokwenda, kuna siku watamchagua Sumaye kuwa mwenyekiti wa UVCCM.
🤣 🤣 🤣
 
Mimi mwenyewe nilishangaa sana siku waliposema eti ni katibu wa UVCC.

CCM wanavyokwenda, kuna siku watamchagua Sumaye kuwa mwenyekiti wa UVCCM.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa hapa pichani ni Mh Faki , mnavyomuangalia hapa mtu huyu ni wa miaka 25 au 28 kweli ?
Labda wameona anachoweza ni kudanganya vingine vyote hawezi ngiyo wakampa hiyo nafasi
 
Nafasi ya katibu wa UVCCM haingalii umri. Pia umri wa kuwa UVCCM uliongezwa hadi miaka 35.
Sahihi...wengi huwa wanachanganya kati ya nafasi za uongozi na utendaji.Hata serikalini umri wa kijana ni mwisho miaka 35 but kuna maafisa Vijana ambao wana zaidi ya miaka 50.So hata UVCCM kwa nafasi za kugombea uongozi sharti uwe under 35 kwa sasa ili ukimalize
 
Hapo wapo watakao kuambia kwani wewe ni TBS. Hapana chezea nchi hii
 
Back
Top Bottom