Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Huyu na Pambalu ni mulemule, huku ACT sisi tunatumia vigezo tofauti kidogo. Sifa ya mtu kuwa mwenyekiti wa vijana ni kuwa na kadi ya bakwata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Huyu na Pambalu ni mulemule, huku ACT sisi tunatumia vigezo tofauti kidogo. Sifa ya mtu kuwa mwenyekiti wa vijana ni kuwa na kadi ya bakwata
🤣 🤣 🤣Mimi mwenyewe nilishangaa sana siku waliposema eti ni katibu wa UVCC.
CCM wanavyokwenda, kuna siku watamchagua Sumaye kuwa mwenyekiti wa UVCCM.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi mwenyewe nilishangaa sana siku waliposema eti ni katibu wa UVCC.
CCM wanavyokwenda, kuna siku watamchagua Sumaye kuwa mwenyekiti wa UVCCM.
Labda wameona anachoweza ni kudanganya vingine vyote hawezi ngiyo wakampa hiyo nafasiSasa hapa pichani ni Mh Faki , mnavyomuangalia hapa mtu huyu ni wa miaka 25 au 28 kweli ?
Tunakushukuru mwanaCCM mwenzetu kwa kukipigania chama na kutaka kuona CCM inakuwa imara zaidiUjumbe umefika kwa mamlaka za juu
Sahihi...wengi huwa wanachanganya kati ya nafasi za uongozi na utendaji.Hata serikalini umri wa kijana ni mwisho miaka 35 but kuna maafisa Vijana ambao wana zaidi ya miaka 50.So hata UVCCM kwa nafasi za kugombea uongozi sharti uwe under 35 kwa sasa ili ukimalizeNafasi ya katibu wa UVCCM haingalii umri. Pia umri wa kuwa UVCCM uliongezwa hadi miaka 35.