binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Au chipukizi kabisa 😀Basi itapendeza zaidi wamteue mzee Wasira kuwa katibu mkuu wa UVCCM.
CCM kwa kujustify ujinga! Makatibu wote ni waajiriwa sawa, lakini wanatakiwa kutokana na kundi husika wanaloenda kuliwakilisha.