Huyu hapa RPC RUVUMA alomwambia HECHE "kama unataka kufanya Mkutano RUVUMA usitaje 'No Reforms ,No Election ' "

Huyu hapa RPC RUVUMA alomwambia HECHE "kama unataka kufanya Mkutano RUVUMA usitaje 'No Reforms ,No Election ' "

Sijawahi Elewa kazi halisi ya Jeshi la Polisi, kwan PGO zao zinasemaje?

Ko huyo RPC anataka awe anasikia "CCM hoyeee,?" ana Elimu gani kwani huyo poti?

Dooh
Elimu zao Huwa ni za kuunga unga sana, utakua Kidato Cha Nne tu karudia rudia wee, akaanza Cheti, akasoma Diploma ,hapo unakuta kauunga unga na kuhonga Walimu wake , Shahada wanavyuo vyao, Open University, SAUT na tuvichuo fulan fulan.


Huwez Kuta Polisi ana Degree ya UDSM, UDOM, MZUMBE .
 
Heche akamjibu, kama unataka kutuelekeza kitu gan Cha kusema, Jiunge CHADEMA, uwe Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama ,


View: https://youtu.be/AjPXZwgFDjI?si=GMDzGrR72Oy73PMu

Mbona anababaika hivi ktk kutoa taarifa yake...?

Inaonekana kabisa hana uhakika na kile kinachotoka mdomoni mwake...!

Hii ndio shida ya polisi kufanya kazi kwa "maagizo na utashi wa watu fulani" badala ya kuzingatia miongozo ya kisheria ya kazi yao (PGO) matokeo yake ni haya hata hajui anasema nini hapo. Maneno na akili na moyo wake hazina muunganiko...

Drama, drama, drama.....
 
Nini kimemtokea Afande mwenzetu?
 
Elimu zao Huwa ni za kuunga unga sana, utakua Kidato Cha Nne tu karudia rudia wee, akaanza Cheti, akasoma Diploma ,hapo unakuta kauunga unga na kuhonga Walimu wake , Shahada wanavyuo vyao, Open University, SAUT na tuvichuo fulan fulan.


Huwez Kuta Polisi ana Degree ya UDSM, UDOM, MZUMBE .
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom