Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Sawa.Basi yaishee.
Sawa.Basi yaishee.
Kuhusu elimu jamaa limesoma vizuri tu! Ni li classmate langu ila sema tu halikwuga na akili nzuri tangu tukiwa shule!Sijawahi Elewa kazi halisi ya Jeshi la Polisi, kwan PGO zao zinasemaje?
Ko huyo RPC anataka awe anasikia "CCM hoyeee,?" ana Elimu gani kwani huyo poti?
Dooh
Wapo wengi tu mkuu wengine wamesoma sheria huko huko UDSM, Mzumbe n.kHuwez Kuta Polisi ana Degree ya UDSM, UDOM, MZUMBE .
Amani is a hoaxnawapongeza jeshi la polisi kwa utendaji kazi uliotukuka
uzuri hata chadema wanakula matunda ya amani hivyo kuwa wanufaika wa kazi nzuri ya jeshi la polisi
Mkuu sikuizi mambo tofauti, wana graduates kule . Matter of fact huwez kuwa officer bila degree.Elimu zao Huwa ni za kuunga unga sana, utakua Kidato Cha Nne tu karudia rudia wee, akaanza Cheti, akasoma Diploma ,hapo unakuta kauunga unga na kuhonga Walimu wake , Shahada wanavyuo vyao, Open University, SAUT na tuvichuo fulan fulan.
Huwez Kuta Polisi ana Degree ya UDSM, UDOM, MZUMBE .
Hawa wanaosoma wakiwa na Kazi, Master Degree .Mkuu sikuizi mambo tofauti, wana graduates kule . Matter of fact huwez kuwa officer bila degree.
Wana masters , kuna level fulan without master hufiki
Heche akamjibu, kama unataka kutuelekeza kitu gan Cha kusema, Jiunge CHADEMA, uwe Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama ,
View: https://youtu.be/AjPXZwgFDjI?si=GMDzGrR72Oy73PMu
Hongera sana
No fresh graduates kabisa wanachukua, suala la kwamba hawafanyii kazi wanachosomea, sasa hilo ni tatizo la muhusika . Kuna taasis haziruhusu kusoma nje ya taaluma yako.Hawa wanaosoma wakiwa na Kazi, Master Degree .
Hivi unajua Polisi anaenda Shule ili kupata Level ya Elimu itakayompa Cheo.
Hawendi kusoma Kwa ajili ya Wanachosomea.
Hii imewafanya wengi wao wanapoingia vyuon, WAHONGE SANA WAHADHIRI NA KUFAULISHWA.
Usichikijua, amani haiketwi na jeshi la polisi, amani inaletwa kwa kuuuwasikiliza watu wanaolalamik, hata kama ni kundi dogo.nawapongeza jeshi la polisi kwa utendaji kazi uliotukuka
uzuri hata chadema wanakula matunda ya amani hivyo kuwa wanufaika wa kazi nzuri ya jeshi la polisi
Huyo bwana namjua a,b,c..,Elimu zao Huwa ni za kuunga unga sana, utakua Kidato Cha Nne tu karudia rudia wee, akaanza Cheti, akasoma Diploma ,hapo unakuta kauunga unga na kuhonga Walimu wake , Shahada wanavyuo vyao, Open University, SAUT na tuvichuo fulan fulan.
Huwez Kuta Polisi ana Degree ya UDSM, UDOM, MZUMBE .
Upo sahihi, CCM ni wajinga sn wanahisi Tanzania ni mali yao binafsiUsichikijua, amani haiketwi na jeshi la polisi, amani inaletwa kwa kuuuwasikiliza watu wanaolalamik, hata kama ni kundi dogo.
Mifano ipo.
Congo jeshi la polisi lipo na lilikuwepo je amani ipo, Syria ya Asad polisi ilikuwepo je walipata amani! Leo hawapo madarakani.
Kama kuna wanaolalamika katika jamii,njia pekee na ya kujenga amani kama siyo kudumisha ni kuwasikiliza malalamiko yao.
Leo hii waliokuwa wanalalamika huko Syria ndio serikali.
Congo wanaenda kuchukua nchi ni swala la wakati tu.
Heche akamjibu, kama unataka kutuelekeza kitu gan Cha kusema, Jiunge CHADEMA, uwe Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama ,
View: https://youtu.be/AjPXZwgFDjI?si=GMDzGrR72Oy73PMu