Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Elimu zao Huwa ni za kuunga unga sana, utakua Kidato Cha Nne tu karudia rudia wee, akaanza Cheti, akasoma Diploma ,hapo unakuta kauunga unga na kuhonga Walimu wake , Shahada wanavyuo vyao, Open University, SAUT na tuvichuo fulan fulan.Sijawahi Elewa kazi halisi ya Jeshi la Polisi, kwan PGO zao zinasemaje?
Ko huyo RPC anataka awe anasikia "CCM hoyeee,?" ana Elimu gani kwani huyo poti?
Dooh
RPC Mstaafu, Mwakyoma amezikwa Jana, Mkoa wa Mbeya!Heche akamjibu, kama unataka kutuelekeza kitu gan Cha kusema, Jiunge CHADEMA, uwe Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama ,
View: https://youtu.be/AjPXZwgFDjI?si=GMDzGrR72Oy73PMu
Mbona anababaika hivi ktk kutoa taarifa yake...?Heche akamjibu, kama unataka kutuelekeza kitu gan Cha kusema, Jiunge CHADEMA, uwe Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama ,
View: https://youtu.be/AjPXZwgFDjI?si=GMDzGrR72Oy73PMu
Nikuelekeze Makao Makuu yao ukawaulize?Sijawahi Elewa kazi halisi ya Jeshi la Polisi, kwan PGO zao zinasemaje?
Ko huyo RPC anataka awe anasikia "CCM hoyeee,?" ana Elimu gani kwani huyo poti?
Dooh
Hahahaha....KumbeHeche akamjibu, kama unataka kutuelekeza kitu gan Cha kusema, Jiunge CHADEMA, uwe Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama ,
View: https://youtu.be/AjPXZwgFDjI?si=GMDzGrR72Oy73PMu
Nini kimemtokea Afande mwenzetu?RPC Mstaafu, Mwakyoma amezikwa Jana, Mkoa wa Mbeya!
Yuko wapi?Polisi ni wa kuhurumiwa sana! Mwangalie Mahita leo
Nini kimemtokea Afande mwenzetu?
Sihitaji huko mie, nijibu hapa hapa.Nikuelekeze Makao Makuu yao ukawaulize?
ππππElimu zao Huwa ni za kuunga unga sana, utakua Kidato Cha Nne tu karudia rudia wee, akaanza Cheti, akasoma Diploma ,hapo unakuta kauunga unga na kuhonga Walimu wake , Shahada wanavyuo vyao, Open University, SAUT na tuvichuo fulan fulan.
Huwez Kuta Polisi ana Degree ya UDSM, UDOM, MZUMBE .
Hapa hapa hainogi.Sihitaji huko mie, nijibu hapa hapa.
Basi yaishee.Hapa hapa hainogi.