Huyu hapa RPC RUVUMA alomwambia HECHE "kama unataka kufanya Mkutano RUVUMA usitaje 'No Reforms ,No Election ' "

Mkuu sikuizi mambo tofauti, wana graduates kule . Matter of fact huwez kuwa officer bila degree.
Wana masters , kuna level fulan without master hufiki
 
Mkuu sikuizi mambo tofauti, wana graduates kule . Matter of fact huwez kuwa officer bila degree.
Wana masters , kuna level fulan without master hufiki
Hawa wanaosoma wakiwa na Kazi, Master Degree .

Hivi unajua Polisi anaenda Shule ili kupata Level ya Elimu itakayompa Cheo.

Hawendi kusoma Kwa ajili ya Wanachosomea.

Hii imewafanya wengi wao wanapoingia vyuon, WAHONGE SANA WAHADHIRI NA KUFAULISHWA.
 
No fresh graduates kabisa wanachukua, suala la kwamba hawafanyii kazi wanachosomea, sasa hilo ni tatizo la muhusika . Kuna taasis haziruhusu kusoma nje ya taaluma yako.

Na ukisingua hawatambui degree yako maana haipo kwenye scope ya muajiri
Tena ni taasis ya ulinzi na usalama
 
nawapongeza jeshi la polisi kwa utendaji kazi uliotukuka

uzuri hata chadema wanakula matunda ya amani hivyo kuwa wanufaika wa kazi nzuri ya jeshi la polisi
Usichikijua, amani haiketwi na jeshi la polisi, amani inaletwa kwa kuuuwasikiliza watu wanaolalamik, hata kama ni kundi dogo.
Mifano ipo.
Congo jeshi la polisi lipo na lilikuwepo je amani ipo, Syria ya Asad polisi ilikuwepo je walipata amani! Leo hawapo madarakani.
Kama kuna wanaolalamika katika jamii,njia pekee na ya kujenga amani kama siyo kudumisha ni kuwasikiliza malalamiko yao.
Leo hii waliokuwa wanalalamika huko Syria ndio serikali.
Congo wanaenda kuchukua nchi ni swala la wakati tu.
 
Huyo bwana namjua a,b,c..,
Elimu yake sio ya kuunga unga,hakuna nchi hajafika na ni mtaalamu wa Forensic.Muda.wote wa elimu na kazi amekuwa pale ofisi ya garden avenue mnapochukulia passport mkitaka kwenda nje ya nchi,sema amezaliwa katika familia ya kada mtiifu na maisha yote makubwa katika maisha ya ccm,Hana cha kupoteza.
 
Upo sahihi, CCM ni wajinga sn wanahisi Tanzania ni mali yao binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…