Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,667
- 21,296
Usipende Uropokaji na kuchafua watu
Usipende Uropokaji na kuchafua watu
mauaji ya Osama bin laden 🐒
*** the Sisiemu
Ma CHADEMA hayawezi kuelewa kitumauaji ya Osama bin laden 🐒
Mbona amekaa mbali hivo pale anaona vizuri kweliNdugu zangu Watanzania,
Kwa Mara Ya Kwanza Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameonekana Ikulu akiwa pamoja na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.
Hii ni Baada ya kupita Siku chache Tangia Kuteuliwa Kwake kuwa Mshauri wa Rais katika masuala Ya Afya .
Leo Mheshimiwa Ummy Mwalimu amepata nafasi ya kuwa pamoja na Mheshimiwa Rais ikulu ya Dar es salaam na katika Tukio la kufuatilia na kuangalia uwasilishwaji na Usomwaji wa Bajeti Kuu ya serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3605827View attachment 3605828
kupita na Osama
Samia anayumba sana kwenye maamuzi, ndio hapo anapochemka. Wakati fulani inaonekana hajui hata alichoamua aliamua kwa sababu gani. Sasa kisa cha kumnyang'anya kura za mchujo ummy ilikuwa nini halafu leo anamteua kuwa mshauri wake. Kiongozi mkubwa ukiwa unaporoshwapotoshwa na vitaarifa vya ajabuajabu, huwezi kuisaidia nchi.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Mara Ya Kwanza Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameonekana Ikulu akiwa pamoja na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.
Hii ni Baada ya kupita Siku chache Tangia Kuteuliwa Kwake kuwa Mshauri wa Rais katika masuala Ya Afya .
Leo Mheshimiwa Ummy Mwalimu amepata nafasi ya kuwa pamoja na Mheshimiwa Rais ikulu ya Dar es salaam na katika Tukio la kufuatilia na kuangalia uwasilishwaji na Usomwaji wa Bajeti Kuu ya serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3605827View attachment 3605828
Gentleman,Samia anayumba sana kwenye maamuzi, ndio hapo anapochemka. Wakati fulani inaonekana hajui hata alichoamua aliamua kwa sababu gani. Sasa kisa cha kumnyang'anya kura za mchujo ummy ilikuwa nini halafu leo anamteua kuwa mshauri wake. Kiongozi mkubwa ukiwa unaporoshwapotoshwa na vitaarifa vya ajabuajabu, huwezi kuisaidia nchi.
Hahaha🤣Kwa nini yeye hakai kwenye sofa?
Faki them bi+ches!Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Mara Ya Kwanza Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameonekana Ikulu akiwa pamoja na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.
Hii ni Baada ya kupita Siku chache Tangia Kuteuliwa Kwake kuwa Mshauri wa Rais katika masuala Ya Afya .
Leo Mheshimiwa Ummy Mwalimu amepata nafasi ya kuwa pamoja na Mheshimiwa Rais ikulu ya Dar es salaam na katika Tukio la kufuatilia na kuangalia uwasilishwaji na Usomwaji wa Bajeti Kuu ya serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3605827View attachment 3605828
Ndugu zangu Watanzania,

Karibuni tena 7/7Mnajaribu kumsafisha lakini hasafishiki. Kaua vya kutosha huyo mama yako Samia. Atuoneshe wapi alipozika ndugu zetu watanganyika. Kichaa amepewa rungu, anaona raha kuua.
Ndio anaona vizuri na kusikia vizuri . Maana kikubwa ni kusikia kuliko kuonaMbona amekaa mbali hivo pale anaona vizuri kweli
Wewe ndiye Felia wa kila kituHuyo mama yako hesabu alifeli hapo hata akitajiwa matrilioni hana anachoelewa, na hao waliomzunguka hapo washamjulia mapungufu yake wanasifia tu ilimradi wapate ugali wao!.
Halina shida na wala kukopa siyo dhambi wala jinaiDeni la taifa umeliona?