Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Pumbavu nyinyi na wa aina yako mliojaa ubaguzi wa kijinga.Huyo kibibi cha Kizimkazi, mzanzibari mwenzenu ambaye hajui anachokiongea ndiyo katuchafulia nchi na ninyi vibaraka wake kutoka UVCCM hamjali maisha ya watanganyika. Mnaona kila kitu ni sawa watu wafe tu. Hatuwataki pumbavu nyie.
Hata alipokuwepo JPM mlikuja na akili hizi hizi za ubaguzi mkiibagua Chato kama vile sio sehemu ya Tanzania.
Uliza wenye kujua kinachofanyika nchi nzima watakwambia huyu Mama anafanya mangapi ya kimaendeleo.