Huyu Hapa Ummy Mwalimu Na Rais Samia Ikulu Wakiangalia na kufuatilia Hotuba ya Bajeti Kuu Ya Serikali

Huyu Hapa Ummy Mwalimu Na Rais Samia Ikulu Wakiangalia na kufuatilia Hotuba ya Bajeti Kuu Ya Serikali

Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Mara Ya Kwanza Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameonekana Ikulu akiwa pamoja na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.

Hii ni Baada ya kupita Siku chache Tangia Kuteuliwa Kwake kuwa Mshauri wa Rais katika masuala Ya Afya .

Leo Mheshimiwa Ummy Mwalimu amepata nafasi ya kuwa pamoja na Mheshimiwa Rais ikulu ya Dar es salaam na katika Tukio la kufuatilia na kuangalia uwasilishwaji na Usomwaji wa Bajeti Kuu ya serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3605827View attachment 3605828​
So what???
 
Si mlisema mtu na rafiki yake walitibuana kwenye mambo yao ya binafsi na kupelekea huyo dada kutengwa na kuachwa kwenye teuzi?
 
Si mlisema mtu na rafiki yake walitibuana kwenye mambo yao ya binafsi na kupelekea huyo dada kutengwa na kuachwa kwenye teuzi?
 
Mlitaka kutuchafulia nchi iliyozoea kuishi kwa amani, hamtakuja kurudia tena ujinga ule.
Huyo kibibi cha Kizimkazi, mzanzibari mwenzenu ambaye hajui anachokiongea ndiyo katuchafulia nchi na ninyi vibaraka wake kutoka UVCCM hamjali maisha ya watanganyika. Mnaona kila kitu ni sawa watu wafe tu. Hatuwataki pumbavu nyie.
 
Huna akili wewe mjaa laana
 
Back
Top Bottom