Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

Ulokole una uraibu wa ajabu sana ukikuingia unakuwa hausikii wala uambiliki ni kusifia kama chawa wa mama
Kama hauna utimamu hapo unakuwa kama wale mashabiki wa wanasiasa na mashabiki wa mpira ambao wakifungwa wanajinyonga kabisa, bila hao walokole wachawi wangeongoza kwakuturoga
 
Mungu ana njia nyingi juu ya watu wake kwa kutumia mtu.
Usije uka dhihaki ukajikuta unaingia kwenye vita na Mungu.
By summing up watu waendao pale si wapumbvu.
Omba yasikukute.
Utaanzia kwa waganga utamalizia hapo unapopa dhihaki.
Mambo ya Mungu hayajui tena anaweza beba hata hajiwezi kutembea anatupa magongo akiwa pale pale
 
Hivi T.B Joshua aliishia wapi?

Siku hizi hakuna haja ya kwenda Lagos nogeria, unaenda Kawe tu!

Acheni kusubiri shortcut kwenye maisha, lazima ule kwa jasho!
Alipokufa walimweka mwezi mmoja au miwili wakitegemea atafufuka...[emoji51]...hatimaye wakazika!
 
Au wewe ndiye yeye! unajipigia debe. Mungu akitaka kumfanikisha mtu, huanzia rohoni, sio mwilini. shetani ndiye huanzia mwilini
so take care! kuwa mkuu wa IPU, au Rais wa nchi inasaidia nini kama jina lako halijaandikwa mbinguni kwenye kitabu cha uzima. shetani ndiye bingwa wa mazingaombwe! a deceiver!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…