Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

Juz kati nimeshuhudia mwenyew kwa macho yangu mdada mmoja hv alimpeleka mama yake alikuwa kapooza upande mmoja inasemekana kirogo mana wamepita hospitar karibu zote ikiwemo india na za hapa nchini baada ya kupelekwa kwa mwamposa ndio kwanza kazidiwa hiyi si story nimeshuhudia mwenye na huyu mama yupo mpaka sasa analia tu alafu nimesahau yale mafuta ya upako si mafuta ya korie yale? Mana ukiyanusa ni korie tu kuna mengine ni alizeti kabisa wala sidanganya nasema kweri tu na huyu mwamba angekuwa jpm mpaka leo angekuwa kashapoteza umaharufu
 
Chawa kila mahali chamani, aerikalini na kwenye dini, inachosha
Kwa hali hii Watanzania wengi watazidi kuwa Masikini aisee. Maana hata kufikiri naona kunapotea Dini fake na Manabii fake wanazidi kuwapoteza watu
 
Ukweli ndio huo Yale ni Mafuta ya kawaida kabisa yaweza kuwa ni Korie au alizeti hivyo hivyo Yale maji ni maji ya kawaida kabisa,

ILA BAADA YA MTUME KUWASUKUMIZIA NGUVU YA MUNGU NDIO YANAITWA "MAFUTA YA UPAKO"

Kuhusu huyo Mama kwenda India na wapi mwambie ainue imani yake kwa Mungu ndie mponyaji na atapona lazima,
 
Sasa Mwamposa kahubiri inji gani tofauti?
 

View: https://youtu.be/9o7BIEf9Ex8?si=P0z3mkECiWsg--Gy
 

View: https://youtu.be/S7tDbsMBvuc?si=TikjaRM74oTw-rbh
ANAYEPONYA NI MUNGU SIO MWANADAMU MWAMPOSA
 

View: https://youtu.be/Zychu14ynAU?si=kV_y5KeF_E-VuZnt
 
Nilikuwa siwez kuongea na wanawake ila baada ya kwenda kawe jinsi nnavyoji bless na tozoz kwasasa mpaka mm mwenyewe najishangaa

Mwamposa ni mtume.
 
Mungu amuinue zaidi mtu huyu wa Mungu
 
Wainue imani yao ila ni ngumu matatizo yote kubaki palepale,
Kwa Mungu ni imani, imani, imani
Sasa mbona tunaona wengine hata ushuhuda wao tu unaonyesha hawakuwa na imani kubwa ni kama walienda tu kujaribu baada ya kushauriwa kwenda ila ndio unakuta wanatoa ushuhuda wa kufanikiwa?

Kuna mtu namjua ni ana muda mrefu anaenda huko kwa Mwamposa na akieleza kumuelezea huyo Mwamposa unaona kabisa huyu kaiva ila ndio hivyo hadi leo hakuna alichofanikiwa.
 
Sasa kama ishu ni inani yake kwa Mungu kwa nini watu wasiombe wenyewe majumbani hadi waende kwa Mwamposa? Hivi mtu ambaye sio mkristo haamini Mungu anayemuamini Mwamposa utamwambia ainue imani yake kvp ili aweze kufanikiwa shida zake kupitia hiyo miujiza ya Mwamposa?
 
Muda wa Majibu yake bado haujafika Mungu lazima akutengeneze vizuri hasa maswala kama ya Utajiri na vyeo vikubwa lazima uwe-shaped,

Iko siku utamuona kwa tofauti sana,

Hata hivyo anapashwa kuweka imani kwa Mungu sio kwa Mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…