Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

Kesho mapema sana Kawe kulamba keki ya Upako,
 
Mwamposa ni mtumishi sahihi wa Mungu
 
Imani ndio shida
 
Another fool in town. Ujinga kama huu hatuwezi kushangaa kwanini nchi hii ni masikini.
 
Wakiristo fanyeni kazi halali acheni kutegemea miujiza kupata ahueni ya maisha.

Yaani mtu usifanye kazi utegee miujiza ya binadamu akusaidie kuondokana na umasikini kweli?

Dini zote ni utapeli ila hii ya waumini wa Mwamposa ni utapeli waziwazi uliopitiliza.
 
Kazi hakuna mtu ambaye hafanyi hoja hapa unafanya ila hufanikiwi,

Watu wamefunga connection zako zote
 
Kwa shetani Huwa Kuna mazuri mengi ya kuvutia
 
Gwajima naye alianzq hivi hivi dawa za Nigeria zilipoisha he is no more. Kwa hiyo hata mwamposa ni swala la mda tu kama kakobe. Kanisa ni moja tu takatifu katoliki na la mitume
 
Siyo wakristo wote na pia wanaokwenda huko hata Waislam wapo tena wengi tu. Biblia kitabu cha Hosea 4:6 'Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa'. Hivyo hao wanaokwenda huko ni watu waliokosa maarifa na siyo Ukristo unawatuma wakatapeliwe.
Wewe ndio unakosa maarifa,
Mungu kakuletea Mtume unamwita Freemason,
Wenzako wanatendewa wewe bado unasema freemason, freemason
Kama wewe ni binadamu hebu jaribu kufika pale the njoo ucomment hapa tena
 
Shetani akiwa kazini
 
Tuwapeleke UTOPOLO wafike hata robo kama mume wao Simba
 
Kesho kutwa atakusanya watu awaited moto aseme watangulie kwa bwana wawahi pepo. Uislam ndio dini pekee isiokuwa na hadaa ya binaadam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…