Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Mi sasa nshachanganyikiwa. Yaani si hatukona mchezaji mwingine mpaka enda chukua hii mibaki ya Simba? Aaah huyu alikuwa akikaa bench pale Singida. Kweli viongozi wangu mwatuletea mtu mwenye jina la Israel kwel kwenye team yetu? Aaah huyu acheza mpira na Simba walimwacha?