Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezaji akiwa Simba mnasema hana kiwango,mkimchukua mnaanza kumsifia,ndo maana mmechukua rejects za Simba na zote zinakaa benchiKocha kafatilia video zake alipokuwa kmc,,akaja Simba, akaenda singida na pale Simba sio kwamba aliondoka kwa kukosa namba hapana,,aliondoka baada ya msuguano kati yake na kapombe walikuwa awaelewani wakituhumiana mambo ya ushirikina akaona apishe yeye,,ivyo sio mchezaji mbaya utamhukumu akianza kucheza sio sasa!
Duh watu waongo dunia hii. Kocha hata majina ya wachezaji wa Yanga wengine hawajui aanze kumtaja mwenda 😂😂 .Aujafanywa na kocha umeufanya wewe? Uyo mwenda ni mchezaji mzuri akucheza singida kutokana na sintofahamu ya malipo yake ya usajili kutokamilishwa ivyo yanga wamemchukua baada ya makubaliano kati ya mchezaji, singida wenyewe na yanga, kwa maana iyo sio kwamba alikosa namba pale singida bali ni masuala yake ya kimkataba na singida yalikuwa ayajakaa sawa,,kwaiyo unaposema injinia alikuwa anafata wachezaji wa Simba waliotajwa mbona akumfata mutale? Mbona akumfata ahou? Mbona akumfata charabou? Hao wachezaji wenu mbona viwango vyao ni vibovu tu injinia akuwaona? Muwe na akiba ya maneno msiwe mnatembelea upepo unakoelekea!
Uyo ametoka Simba? Uyo kasajiliwa kutoka singida sio Simba usipotoshe umma!Mchezaji akiwa Simba mnasema hana kiwango,mkimchukua mnaanza kumsifia,ndo maana mmechukua rejects za Simba na zote zinakaa benchi
Hizo zitakuwa stories tu mkuu.Unajua naanza kuamini zile kauli za baadhi ya watu kuwa Hersi alikuwa na mamluki ndani ya Simba kwenye idara ya scouting.
Hao mamluki walikuwa wakimpenyezea Hersi taarifa mapema za wachezaji ambao Simba ilikuwa inawawinda.
Hersi naskia alikuwa anachukua ndege fasta na kuwafata hao wachezaji then Simba walikuwa wakistuka tu kuona mchezaji ambaye walikuwa kwenye mipango ya kumchukua ametambulishwa na Yanga.
Mfano Azizi Ki, huyo Yao naye alikuwa kwenye mipango ya Simba, Pacome pia nk.
Baada ya ujio wa MO hiyo scouting ikavunjwa na wachezaji wote waliohitajika taarifa zilikuwa zinamfikia direct MO.
Kwa hiyo kukawa hakuna loop holes tena kwa Hersi kupata info za wachezaji. So kuanzia hapo ni juhudi zake mwenyewe.
Na ndio maana ni kama amekuwa hana umakini kwenye kusajili wachezaji kwasababu waliokuwa wanamsaidia kupata wachezaji wazuri hawapo.
Hersi anaishia kuchukua rejected players ambao wote tunajua mwisho wao ni kuvunjiwa mikataba kiholela na mfuatano wa kesi za CAS kuhusu ukiukwaji wa masharti kwenye kuvunja mikataba
Hersi anampa wakati mgumu mwanasheria wa Club kwa hizi sajili anazozifanya saizi. Nasema ni Hersi kwasababu wote tunafahamu kuwa huu usajili haujafanywa na kocha.
Saidi amemuona wapi Mwenda wakati amekaa benchi akiwa Singida?Aujafanywa na kocha umeufanya wewe?
Na pia ana uwezo wa kucheza kulia na kushoto kwa uhakika nadhani anakwenda kuziba pengo la upande wa kushoto kipindi ambacho bado boka ajarejea kutoka kwenye majeraha,,kibabage ameshindwa kulimudu kabisa ilo eneo!Kibabage defensively sio mzuri sana na attacking ability yake sio nzuri ila anafundishika, ningekuwa kocha ningempandisha akacheza winga.
Mwenda mzuri sana kwenye defense, kwenye attacking pia sio mbaya sana anafundishika pia. Yanga wameongeza kitu ukiangalia kwa jicho la mpira na sio ushabiki.
Yes, nilisahau hii Mwenda ni versatile pia na hata kiungo anacheza. Mtu anayeuponda huu usajili basi mpira unampiga chengaNa pia ana uwezo wa kucheza kulia na kushoto kwa uhakika nadhani anakwenda kuziba pengo la upande wa kushoto kipindi ambacho bado boka ajarejea kutoka kwenye majeraha,,kibabage ameshindwa kulimudu kabisa ilo eneo!