Huyu Israel Mwenda amshindia nini Kibabage? Mi Yanga sasa yanchanganya

Ndio mwisho wako wa kufikiria umeishia hapo? Taarifa za usajili wa Simba zimevuja mitandaoni hata baada ya huyo Mo kurudi kwenye nafasi yake. Kule kwenye mtandao wa X kuna mtu anaitwa Felix Jason amekuwa na taarifa au tetesi za usajili zenye uhakika zaidi ya asilimia 95. Huku jamii forum kuna mtu anaitwa Hichilema, amekuwa ni mnyetishaji mzuri sana pia kwenye habari za usajili na tetesi zake zote za timu za Simba zimeenda sawa. Acha uongo mzee
Simba ukisikia tetesi saizi ni kwamba tayari ashatia hela na mchezaji kasajiliwa au Simba wamekutana na rival mwenye nguvu kubwa ya pesa.
 
Unajua naanza kuamini zile kauli za baadhi ya watu kuwa Hersi alikuwa na mamluki ndani ya Simba kwenye idara ya scouting.

Hao mamluki walikuwa wakimpenyezea Hersi taarifa mapema za wachezaji ambao Simba ilikuwa inawawinda.

Hersi naskia alikuwa anachukua ndege fasta na kuwafata hao wachezaji then Simba walikuwa wakistuka tu kuona mchezaji ambaye walikuwa kwenye mipango ya kumchukua ametambulishwa na Yanga.

Mfano Azizi Ki, huyo Yao naye alikuwa kwenye mipango ya Simba, Pacome pia nk.

Baada ya ujio wa MO hiyo scouting ikavunjwa na wachezaji wote waliohitajika taarifa zilikuwa zinamfikia direct MO.

Kwa hiyo kukawa hakuna loop holes tena kwa Hersi kupata info za wachezaji. So kuanzia hapo ni juhudi zake mwenyewe.

Na ndio maana ni kama amekuwa hana umakini kwenye kusajili wachezaji kwasababu waliokuwa wanamsaidia kupata wachezaji wazuri hawapo.

Hersi anaishia kuchukua rejected players ambao wote tunajua mwisho wao ni kuvunjiwa mikataba kiholela na mfuatano wa kesi za CAS kuhusu ukiukwaji wa masharti kwenye kuvunja mikataba

Hersi anampa wakati mgumu mwanasheria wa Club kwa hizi sajili anazozifanya saizi. Nasema ni Hersi kwasababu wote tunafahamu kuwa huu usajili haujafanywa na kocha.
Kwa mujibu wa Redio mbao antena Juu ya Minazi
 
Kila mtu mmoja atapagawa wakati wake ukifika kama huyu kolo Scars
 
Kuna video zipo zikimuonesha Sawadogo akifanya turning kwa visigino

Hofu yangu tu huko mbeleni msije kumkataa wakati mmepuuzia dalili.
Halafu tokea lini nyie mkaiombea mazuri Yanga?Yaani ww uwe na hofu na usajili wa Yanga? Hata tukimkataa wa kwetu,kwani nyie wangapi mliwasifia humu kelele nyingi baadae mkawakataa.

Halafu mchezaji mwenyewe kasajiliwa kwa mkopo,pili mzawa habani nafasi ya kusajili mchezaji wa nje .
 
Kuna video zipo zikimuonesha Sawadogo akifanya turning kwa visigino

Hofu yangu tu huko mbeleni msije kumkataa wakati mmepuuzia dalili.
Kwani mwenda ni raia wa wapi bro? Mwenda sio sawadogo ambae tulikuwa atumjui Wala atujawai kumuona,,mwenda ni mtanzania Kila mpenda soka anamjua uwezo wake na tushamuona mara kibao,,kwaiyo sio video zake tu bali tumemuona ni tofauti na sawadogo🤣🤣
 
Unajua naanza kuamini zile kauli za baadhi ya watu kuwa Hersi alikuwa na mamluki ndani ya Simba kwenye idara ya scouting.

Hao mamluki walikuwa wakimpenyezea Hersi taarifa mapema za wachezaji ambao Simba ilikuwa inawawinda.

Hersi naskia alikuwa anachukua ndege fasta na kuwafata hao wachezaji then Simba walikuwa wakistuka tu kuona mchezaji ambaye walikuwa kwenye mipango ya kumchukua ametambulishwa na Yanga.

Mfano Azizi Ki, huyo Yao naye alikuwa kwenye mipango ya Simba, Pacome pia nk.

Baada ya ujio wa MO hiyo scouting ikavunjwa na wachezaji wote waliohitajika taarifa zilikuwa zinamfikia direct MO.

Kwa hiyo kukawa hakuna loop holes tena kwa Hersi kupata info za wachezaji. So kuanzia hapo ni juhudi zake mwenyewe.

Na ndio maana ni kama amekuwa hana umakini kwenye kusajili wachezaji kwasababu waliokuwa wanamsaidia kupata wachezaji wazuri hawapo.

Hersi anaishia kuchukua rejected players ambao wote tunajua mwisho wao ni kuvunjiwa mikataba kiholela na mfuatano wa kesi za CAS kuhusu ukiukwaji wa masharti kwenye kuvunja mikataba

Hersi anampa wakati mgumu mwanasheria wa Club kwa hizi sajili anazozifanya saizi. Nasema ni Hersi kwasababu wote tunafahamu kuwa huu usajili haujafanywa na kocha.
Kwani Simba mmesajili mcheza gani wa maana ukiachana na dada Debora??
 
Halafu tokea lini nyie mkaiombea mazuri Yanga?Yaani ww uwe na hofu na usajili wa Yanga? Hata tukimataa wa kwetu,kwani nyie wangapi mliwasifia humu kelele nyingi baadae mkawakataa.

Halafu mchezaji mwenyewe kasajiliwa kwa mkopo,pili mzawa habani nafasi ya kusajili mchezaji wa nje .
Mimi Yanga siwezi kuiombea mazuri hilo najua lakini haimannishi kuwa inapokosea siwezi kusema

Pengine nasema ili niwaone watu ambao mnaonekana kukubaliana na huu usajili ili huko mbeleni nianze kuhesabu wanafki.
 
Simba ukisikia tetesi saizi ni kwamba tayari ashatia hela na mchezaji kasajiliwa au Simba wamekutana na rival mwenye nguvu kubwa ya pesa.
Tetesi za Mpanzu zilianzia kabla hata hajaenda kwenye majaribio ulaya, unataka kusema kuwa Mpanzu alienda kufanya majaribio kama mchezaji wa Simba? Chutama mzee kwa kuongopea watu.
 
Kwani mwenda ni raia wa wapi bro? Mwenda sio sawadogo ambae tulikuwa atumjui Wala atujawai kumuona,,mwenda ni mtanzania Kila mpenda soka anamjua uwezo wake na tushamuona mara kibao,,kwaiyo sio video zake tu bali tumemuona ni tofauti na sawadogo🤣🤣
Kwani hizo rejected ambazo mmezisajili mlikuwa hamzijui au kuziona?
 
Tetesi za Mpanzu zilianzia kabla hata hajaenda kwenye majaribio ulaya, unataka kusema kuwa Mpanzu alienda kufanya majaribio kama mchezaji wa Simba? Chutama mzee kwa kuongopea watu.
Tatizo unasoma bila kuelewa

Nimekuambia Simba ikikutana na rivals wenye uchumi mkubwa ndio utaona hizo tetesi.
 
Back
Top Bottom