Huyu Israel Mwenda amshindia nini Kibabage? Mi Yanga sasa yanchanganya

Subiri ligi ichanganye mbumbumbu wapigwe 5
Waanze kulia na GSM
 
Mchezaji akiwa Simba mnasema hana kiwango,mkimchukua mnaanza kumsifia,ndo maana mmechukua rejects za Simba na zote zinakaa benchi
 
Duh watu waongo dunia hii. Kocha hata majina ya wachezaji wa Yanga wengine hawajui aanze kumtaja mwenda 😂😂 .
 
Mchezaji akiwa Simba mnasema hana kiwango,mkimchukua mnaanza kumsifia,ndo maana mmechukua rejects za Simba na zote zinakaa benchi
Uyo ametoka Simba? Uyo kasajiliwa kutoka singida sio Simba usipotoshe umma!
 
Hizo zitakuwa stories tu mkuu.
 
ZA NDANI KABISA: John Bocco kamalizana na uongozi wa Yanga. Kutambulishwa muda wowote kuanzia sasa.
 
Kibabage defensively sio mzuri sana na attacking ability yake sio nzuri ila anafundishika, ningekuwa kocha ningempandisha akacheza winga.

Mwenda mzuri sana kwenye defense, kwenye attacking pia sio mbaya sana anafundishika pia. Yanga wameongeza kitu ukiangalia kwa jicho la mpira na sio ushabiki.
 
Na pia ana uwezo wa kucheza kulia na kushoto kwa uhakika nadhani anakwenda kuziba pengo la upande wa kushoto kipindi ambacho bado boka ajarejea kutoka kwenye majeraha,,kibabage ameshindwa kulimudu kabisa ilo eneo!
 
Yes, nilisahau hii Mwenda ni versatile pia na hata kiungo anacheza. Mtu anayeuponda huu usajili basi mpira unampiga chenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…