Huyu jamaa alikuwa ni nani? Alikuwa akifurahisha sana

Justus Mkinga
Alikuwa CEO wa COSOTA. Mpuuzi sana huyo.maana alishindwa kuweka tija katika kusimamia hakimiliki za wasanii nchini.

Mlevi sana na alimalizia pesa zake nyingi kwenye kamari pale New Africa. Alikuja kutumbuliwa na Kikwete na sasa nafasi yake imechukuliwa na mwanamama Doreen ambaye anatibu majeraha aliyoyaacha huyo muhuni
 
Juatus Mkinga
Alikuwa CEO wa COSOTA. Mpuuzi sana huyo.maana alishindwa kuweka tija katika kusimamia hakimiliki za wasanii nchini.

Mlevi sana na alimalizia pesa zake nyingi kwenye kamari pale New Africa
hahaha kumbe jamaa mtu wa gambe sana plus gambling mkuu shukrani inaonekana alikuwa swahiba wako huyu
 
Mbona ni majuzi tu!??! ... Kizazi cha 2000 hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ