Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghafla ghafla,Mbanga ni nini mkuu.?Hahahaha
Mkuu wala siyo swahiba. Nikikufahamu jina ni rahisi kupata Cv yako maana watu watazungumzia mbanga zako.....😇
Wewe utakuwa Bongomuvi staa siyo bure🤣🤣🤣🤣Habari zenu wakuu poleni kwa majukumu
Kipindi nipo young ikifika mda mshaoga mnakalishwa chini TV inawashwa, CD inatupiwa ndani ya deck tena zile ZEC og, shwaah inaimeza.
Hamjakaa sawa haha mara paah anatokea huyu mwamba
View attachment 3211614
Unaskia
"Saidia kukuza ubora wa filamu Tanzania saidia kuinua wasanii wa filamu Tanzania. Hakikisha unanunua nakala halisi zenye nembo ya Steps entertainment yenye kumeremeta.
Steps entertainment watatoa zawadi nono kwa yeyote atakaefanikisha kupatikana kwa mahali penye mitambo ama maharamia wa filamu hizo.
Kwa wale wote wenye vibanda na library hakikisheni hamkodishi wala kuonesha filamu pasipokua na idhini ya wamiliki wa filamu husika..
Paah paah paah
Haki zote zimehifadhiwa”
(Kwa bass) Steps entertainment one step closer everyday
...
Hahaha ulikuwa wapi enzi hizo, nilikuwa primary (mi ni Gen Z)
Huyu mzee ni nani na saivi yuko wapi alikuwa akifurahisha sana haha