Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Ukiona lwiva yuko smart jua fuse zako zimelegea pahalaLwiva yuko smart ila hana filter ya kuzuia emotions zake. Mara nyingi anaharibu hata ujumbe anaoutoa.
Hii vita ni ya wananchi, tukiamua wote kwa pamoja kupambana tutaikomboa Tangayika.Tusikubali kugawanywa katika tofauti za vyama au dini.Mlionunuliwa na rushwa wakati umefika wa kuwasaliti waliowanunua ili mtetee haki, chondechonde amkeni tupiganie taifa letu.Appreciation post to you brother Lwiva Lwiva
Anaandika Lwiva 13/11/2024 kwenye thread ya Abdul NONDO ( hapa hapa JF )
Namnukuu,
Chadema hadi mjambe cheche🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩 nilipo waambia watu humu kuwa GENGE LA ROSTAM AZIZI NI HATARI NI RAIA FEKI WALIOKUWA NA AGENDA YA KUKAMATA SERIKALI NA TAIFA WENGI AMKUNIELEWA ....KAMA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE AWAKUFA NA APA HAPA KUWA MTASHUHUDIA MAMBO MENGI SANA TZ NA KAMA SAMIA ATAENDELEA KUBAKI KITINI DAMU NYINGI SANA ITAMWAGIKA HAPA NI BADO KABISA SIBAHATISHI KWA NINACHO SEMA...FAMILIA HATARI YS JAMBAZI NA RAIA FEKI ROSTAM AZIZI INA ANGAMIZA TAIFA KWA KUTUMIA GENGE LAKE LA RAIA FEKI LILILO JIPENYEZA SERIKALI NA CCM MIAKA MINGI NYUMA....kuna kipindi JPM alikamata kombati za JWTZ mikononi wa hilo genge la bwana rostam azizi...Hilo genge lilianza kujipenyeza hadi kwenye jeshi letu la JWTZ ndiyo mkasikia maduka ya jeshi yanayo endeshwa na hao Raia FEKI...yaliitwa super market za jeshi ...ukweli haukuwa hivyo ndiyo maana JPM alipo chukua nchi hayo mambo yao yakafa ...ila chadema kwa upumbavu walishindwa kutambua kazi tukufu aliyokuwa anaifanya JPM ...KOSA LA JPM NI KUIACHA FAMILIA YA ROSTAM AZIZI HAI LILIKUWA KOSA BAYA SANA KWA TAIFA LETU..KAMA AWAKUTOKEA WATU JASIRI NA WAZALENDO KUDILI NA HUYU KIUMBE ROSTAM BASI TANZANIA IJIANDAE KUWA KAMA RWANDA YA MAUAJI YA KIMBARI AU KAMA SUDAN...Kwa sasa wengi mmesikia hii kitu inapigiwa chapuo na serikali pumbavu ya sa100 kinaitwa PPP ni jina zuri ila ni mwendelezo wa agenda ya Raia feki kukamilisha mipango yao michafu kwa taifa letu ....
HIYO PPP NI PROGRAM YA RAIA FEKI..NA MAFISADI.
Mwisho
Just to hide my id,, and ofcoz profession yangu na deal na hayo mavitu (medicine )Of topic, nini kilikufanya utumie Metronidazole 400mg kama username?
Wasiojulikana wanamuangusha mama! wanakufa wote.
Walionunuliwa nimegundua wanaangalia upepo,, watajiunga nasi dakika za mwisho tunapo karibia kushindaHii vita ni ya wananchi, tukiamua wote kwa pamoja kupambana tutaikomboa Tangayika.Tusikubali kugawanywa katika tofauti za vyama au dini.Mlionunuliwa na rushwa wakati umefika wa kuwasaliti waliowanunua ili mtetee haki, chondechonde amkeni tupiganie taifa letu.
... victory to claim nothing but ashes and rot!Walionunuliwa nimegundua wanaangalia upepo,, watajiunga nasi dakika za mwisho tunapo karibia kushinda
You aint shit.... victory to claim nothing but ashes and rot!
YOU PEOPLE DON'T ACTUALLY KNOW WHAT YOU'RE ABOUT TO UNLEASH!
Shukran, siku moja nitaanzisha mada kuhusu pharmaceutical industry na tuongee kuhusu medicine kwa ujumla na jinsi taaluma hiyo inavyofundishwa Tanzania. Tutahitaji nasaha zako siku hiyo ikifika.Just to hide my id,, and ofcoz profession yangu na deal na hayo mavitu (medicine )
Karibu!Shukran, siku moja nitaanzisha mada kuhusu pharmaceutical industry na tuongee kuhusu medicine kwa ujumla na jinsi taaluma hiyo inavyofundishwa Tanzania. Tutahitaji nasaha zako siku hiyo ikifika.
Tuendelee na mada husika.
Hapa mwanahisabati mwenzangu Lwiva alikuwa sahihi kabisa. Magufuli alikosea sana kuwa na huruma, hawa genge la mtandao walijuwa alikuwa mtu mwenye huruma, ndiyo maana wakatengeneza propaganda ya kumchafua kwa kumuita katili.KOSA LA JPM NI KUIACHA FAMILIA YA ROSTAM AZIZI HAI LILIKUWA KOSA BAYA SANA KWA TAIFA LETU..
Ndio aliandika mambo hayo ilihali wengi hawakuyaona kuja kutokea nchini,huwa mnakutana sana kwenye ofisi za wawekezaji au umejua anashinda hapo?Lwiva huyu huyu mzee wa kubeti pale Afrikasana twenti foo seveni?
Oh! Udart, dp weldi, sgr n.kAppreciation post to you brother Lwiva Lwiva
Anaandika Lwiva 13/11/2024 kwenye thread ya Abdul NONDO ( hapa hapa JF )
Namnukuu,
Chadema hadi mjambe cheche🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩 nilipo waambia watu humu kuwa GENGE LA ROSTAM AZIZI NI HATARI NI RAIA FEKI WALIOKUWA NA AGENDA YA KUKAMATA SERIKALI NA TAIFA WENGI AMKUNIELEWA ....KAMA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE AWAKUFA NA APA HAPA KUWA MTASHUHUDIA MAMBO MENGI SANA TZ NA KAMA SAMIA ATAENDELEA KUBAKI KITINI DAMU NYINGI SANA ITAMWAGIKA HAPA NI BADO KABISA SIBAHATISHI KWA NINACHO SEMA...FAMILIA HATARI YS JAMBAZI NA RAIA FEKI ROSTAM AZIZI INA ANGAMIZA TAIFA KWA KUTUMIA GENGE LAKE LA RAIA FEKI LILILO JIPENYEZA SERIKALI NA CCM MIAKA MINGI NYUMA....kuna kipindi JPM alikamata kombati za JWTZ mikononi wa hilo genge la bwana rostam azizi...Hilo genge lilianza kujipenyeza hadi kwenye jeshi letu la JWTZ ndiyo mkasikia maduka ya jeshi yanayo endeshwa na hao Raia FEKI...yaliitwa super market za jeshi ...ukweli haukuwa hivyo ndiyo maana JPM alipo chukua nchi hayo mambo yao yakafa ...ila chadema kwa upumbavu walishindwa kutambua kazi tukufu aliyokuwa anaifanya JPM ...KOSA LA JPM NI KUIACHA FAMILIA YA ROSTAM AZIZI HAI LILIKUWA KOSA BAYA SANA KWA TAIFA LETU..KAMA AWAKUTOKEA WATU JASIRI NA WAZALENDO KUDILI NA HUYU KIUMBE ROSTAM BASI TANZANIA IJIANDAE KUWA KAMA RWANDA YA MAUAJI YA KIMBARI AU KAMA SUDAN...Kwa sasa wengi mmesikia hii kitu inapigiwa chapuo na serikali pumbavu ya sa100 kinaitwa PPP ni jina zuri ila ni mwendelezo wa agenda ya Raia feki kukamilisha mipango yao michafu kwa taifa letu ....
HIYO PPP NI PROGRAM YA RAIA FEKI..NA MAFISADI.
Mwisho
Kuna mahali nilisoma, nasikia JPM udhaifu wake mkubwa ulikuwa neno " NISAMEHE NIMEKOSA"......alipenda sana mtu akubali kosa na sio kuleta siasa au kujitetea.Hapa mwanahisabati mwenzangu Lwiva alikuwa sahihi kabisa. Magufuli alikosea sana kuwa na huruma, hawa genge la mtandao walijuwa alikuwa mtu mwenye huruma, ndiyo maana wakatengeneza propaganda ya kumchafua kwa kumuita katili.
Magu hata kusaini waliohukumiwa kunyongwa alikataa, alitakiwa kufyeka mtandao wote kwa maslahi ya Taifa, sasa ona wanavyotusumbua.
Mtoto wake Jessica alilisema hilo la kuomba msamaha alipohojiwa na Millard Ayo. Na ndivyo makamu wake alivyojiweka kwake, kiunyenyekevu, Magu akasahau kuwa mwerevu kama nyoka. Wakamuwahi.Kuna mahali nilisoma, nasikia JPM udhaifu wake mkubwa ulikuwa neno " NISAMEHE NIMEKOSA"......alipenda sana mtu akubali kosa na sio kuleta siasa au kujitetea.
Nili prove hilo baada ya kuona clip you tube akiwa kwenye zile ziara zake sijui mkoa gani.....mkurugenzi mmoja alikuwa amezingua sana, alipopewa nafasi ya kujitetea
Yule mkurugenzi alijishusha sana na kusema maneno machache tu "mh raisi NISAMEHE nimekosea naomba nafasi nyingine, kukosea ni kujifunza na mimi najifunza"
Huwezi amini JPM alikuwa na hasira ila baada ya hayo maneno alinywea na hata akashindwa kuongea kwa sekunde kadhaa.....huwezi amini alimpa nafasi nyingine yule mkurugenzi
Ndio ivyo nika prove kuwa ni kweli,,