Huyu jamaa aliona mbali sana juu ya kinachoendelea sasa Tanzania

Huyu jamaa aliona mbali sana juu ya kinachoendelea sasa Tanzania

Kuna mahali nilisoma, nasikia JPM udhaifu wake mkubwa ulikuwa neno " NISAMEHE NIMEKOSA"......alipenda sana mtu akubali kosa na sio kuleta siasa au kujitetea.

Nili prove hilo baada ya kuona clip you tube akiwa kwenye zile ziara zake sijui mkoa gani.....mkurugenzi mmoja alikuwa amezingua sana, alipopewa nafasi ya kujitetea

Yule mkurugenzi alijishusha sana na kusema maneno machache tu "mh raisi NISAMEHE nimekosea naomba nafasi nyingine, kukosea ni kujifunza na mimi najifunza"

Huwezi amini JPM alikuwa na hasira ila baada ya hayo maneno alinywea na hata akashindwa kuongea kwa sekunde kadhaa.....huwezi amini alimpa nafasi nyingine yule mkurugenzi

Ndio ivyo nika prove kuwa ni kweli,,
Malezi na mafundisho ya kanisa Katoliki hayo. Msamaha.
Hata kwenye kuungama dhambi wanafundisha utafute makosa yako, ukubali umekosea, ujute kutenda hayo makosa, uombe msamaha (utubu, uungame) na usirudie tena kutenda hayo makosa. Kama ulichukua kitu cha mturudishie mwenyewe.
Upande wa jamii za Asia ya Kati na uajemi ulikosea unapewa adhabu kali mno mfano kuuwawa au kukatwa kiungo au kutengea kabisa na jamii.
 
Ukiona lwiva yuko smart jua fuse zako zimelegea pahala
Kuna kahaba mmoja alikuja kama wewe alikuwa anaitwa FaizaFoxy alisumbua sana hapa JF na mambo ya Samia na Dini ya uislamu...huku akiponda dini zingine ...alijidai smart muulize siku hizi yupo wapi na nyuzi kaacha kuleta .....waulize waislamu waliokuwa kila kukicha wanaleta nyuzi na maswali na hoja ...siku hizi hata ukiwatag awajibu kitu ...muulize Pascal Mayalla huyu alikuwa ananichongea nipigwe ban nilipo mwita zuzu ...ninazo screenshot za mijadara nikozipost hapa mtashangaa... nilipigwa sana ban hii ilikuwa 2022
 

Attachments

  • Screenshot_20250421-130339.jpg
    Screenshot_20250421-130339.jpg
    168.7 KB · Views: 16
  • Screenshot_20210718-000527.jpg
    Screenshot_20210718-000527.jpg
    103.6 KB · Views: 17
  • Screenshot_20250809-115549.jpg
    Screenshot_20250809-115549.jpg
    170.8 KB · Views: 12
  • Screenshot_20250809-041838.jpg
    Screenshot_20250809-041838.jpg
    167.8 KB · Views: 12
  • Screenshot_20250809-040035.jpg
    Screenshot_20250809-040035.jpg
    185.6 KB · Views: 16
  • Screenshot_20250809-035334.jpg
    Screenshot_20250809-035334.jpg
    126.4 KB · Views: 12
  • Screenshot_20250809-035218.jpg
    Screenshot_20250809-035218.jpg
    146 KB · Views: 14
Tu
Shukran, siku moja nitaanzisha mada kuhusu pharmaceutical industry na tuongee kuhusu medicine kwa ujumla na jinsi taaluma hiyo inavyofundishwa Tanzania. Tutahitaji nasaha zako siku hiyo ikifika.

Tuendelee na mada husika.
Yupp wengi hapa usinisahau
 
Lwiva huyu huyu mzee wa kubeti pale Afrikasana twenti foo seveni?
Mimi siyo wale vichwa panzi na watoto wenu mnao semezana mshika mawili moja umchomoka ...mimi nashika 10000 na sichomokwi hata na moja ...kubeti nabeti ...sayansi nafanya ..electronic nipo mapishi najua ...hesabu najua chemistry najua siasa najua nk kuna watu humu ushangaa kunikuta kwenye nyuzi wasizo tazamiq hadi uniuliza kumbe na huku humo ....kuna watu wananijua kuwa ni bingwa wa maswala ya DINI TU ....hawajui kuwa kwenye maswala ya MATHEMATICS HAKUNA MFANO WANGU ....wengine wananijua kwa math awajui kuwa kwenye draft hakuna mfano wangu ...wengine wananijua kwenye SIASA awajui kuwa kwenye ELECTRONICS hakuna mfano wangu ....
NILIWAAMBIA HAPA CHADEMA NA CCM KUWA WOTE NYINYI HAMNA UWEZO WA KUANDIKA KATIBA WALA AMJUI KATIBA INATAKIWA KUWAJE WAKANIBISHIA ...MFANO KATIBA MPYA YA KENYA NI MBOVU SANA KUNA MAMBO MAKUU MNO YAMEKOSEKANA TENA MENGI MNO TENA HAYO MAMBO YALIYO KOSEKANA NDIYO NGUZO YA KATIBA SAHIHI.
 
Ndio aliandika mambo hayo ilihali wengi hawakuyaona kuja kutokea nchini,huwa mnakutana sana kwenye ofisi za wawekezaji au umejua anashinda hapo?
🤔
Lwiva jobles anaishi kwa kubeti namfaham vizuri. Naishi Kibaha Kongowe
 
Kuna kahaba mmoja alikuja kama wewe alikuwa anaitwa FaizaFoxy alisumbua sana hapa JF na mambo ya Samia na Dini ya uislamu...huku akiponda dini zingine ...alijidai smart muulize siku hizi yupo wapi na nyuzi kaacha kuleta .....waulize waislamu waliokuwa kila kukicha wanaleta nyuzi na maswali na hoja ...siku hizi hata ukiwatag awajibu kitu ...muulize Pascal Mayalla huyu alikuwa ananichongea nipigwe ban nilipo mwita zuzu ...ninazo screenshot za mijadara nikozipost hapa mtashangaa... nilipigwa sana ban hii ilikuwa 2022
Mental case,shakahola subject
 
Hapa mwanahisabati mwenzangu Lwiva alikuwa sahihi kabisa. Magufuli alikosea sana kuwa na huruma, hawa genge la mtandao walijuwa alikuwa mtu mwenye huruma, ndiyo maana wakatengeneza propaganda ya kumchafua kwa kumuita katili.

Magu hata kusaini waliohukumiwa kunyongwa alikataa, alitakiwa kufyeka mtandao wote kwa maslahi ya Taifa, sasa ona wanavyotusumbua.
Magu alikuwa katili sio kwa kuhadithiwa na yoyote. Unaposema hakusaini kwani ni rais gani amesaini watu kunyongwa?
 
Back
Top Bottom