Malezi na mafundisho ya kanisa Katoliki hayo. Msamaha.Kuna mahali nilisoma, nasikia JPM udhaifu wake mkubwa ulikuwa neno " NISAMEHE NIMEKOSA"......alipenda sana mtu akubali kosa na sio kuleta siasa au kujitetea.
Nili prove hilo baada ya kuona clip you tube akiwa kwenye zile ziara zake sijui mkoa gani.....mkurugenzi mmoja alikuwa amezingua sana, alipopewa nafasi ya kujitetea
Yule mkurugenzi alijishusha sana na kusema maneno machache tu "mh raisi NISAMEHE nimekosea naomba nafasi nyingine, kukosea ni kujifunza na mimi najifunza"
Huwezi amini JPM alikuwa na hasira ila baada ya hayo maneno alinywea na hata akashindwa kuongea kwa sekunde kadhaa.....huwezi amini alimpa nafasi nyingine yule mkurugenzi
Ndio ivyo nika prove kuwa ni kweli,,
Kuna kahaba mmoja alikuja kama wewe alikuwa anaitwa FaizaFoxy alisumbua sana hapa JF na mambo ya Samia na Dini ya uislamu...huku akiponda dini zingine ...alijidai smart muulize siku hizi yupo wapi na nyuzi kaacha kuleta .....waulize waislamu waliokuwa kila kukicha wanaleta nyuzi na maswali na hoja ...siku hizi hata ukiwatag awajibu kitu ...muulize Pascal Mayalla huyu alikuwa ananichongea nipigwe ban nilipo mwita zuzu ...ninazo screenshot za mijadara nikozipost hapa mtashangaa... nilipigwa sana ban hii ilikuwa 2022Ukiona lwiva yuko smart jua fuse zako zimelegea pahala
Yupp wengi hapa usinisahauShukran, siku moja nitaanzisha mada kuhusu pharmaceutical industry na tuongee kuhusu medicine kwa ujumla na jinsi taaluma hiyo inavyofundishwa Tanzania. Tutahitaji nasaha zako siku hiyo ikifika.
Tuendelee na mada husika.
Mimi siyo wale vichwa panzi na watoto wenu mnao semezana mshika mawili moja umchomoka ...mimi nashika 10000 na sichomokwi hata na moja ...kubeti nabeti ...sayansi nafanya ..electronic nipo mapishi najua ...hesabu najua chemistry najua siasa najua nk kuna watu humu ushangaa kunikuta kwenye nyuzi wasizo tazamiq hadi uniuliza kumbe na huku humo ....kuna watu wananijua kuwa ni bingwa wa maswala ya DINI TU ....hawajui kuwa kwenye maswala ya MATHEMATICS HAKUNA MFANO WANGU ....wengine wananijua kwa math awajui kuwa kwenye draft hakuna mfano wangu ...wengine wananijua kwenye SIASA awajui kuwa kwenye ELECTRONICS hakuna mfano wangu ....Lwiva huyu huyu mzee wa kubeti pale Afrikasana twenti foo seveni?
Lwiva jobles anaishi kwa kubeti namfaham vizuri. Naishi Kibaha KongoweNdio aliandika mambo hayo ilihali wengi hawakuyaona kuja kutokea nchini,huwa mnakutana sana kwenye ofisi za wawekezaji au umejua anashinda hapo?
🤔
Mental case,shakahola subjectKuna kahaba mmoja alikuja kama wewe alikuwa anaitwa FaizaFoxy alisumbua sana hapa JF na mambo ya Samia na Dini ya uislamu...huku akiponda dini zingine ...alijidai smart muulize siku hizi yupo wapi na nyuzi kaacha kuleta .....waulize waislamu waliokuwa kila kukicha wanaleta nyuzi na maswali na hoja ...siku hizi hata ukiwatag awajibu kitu ...muulize Pascal Mayalla huyu alikuwa ananichongea nipigwe ban nilipo mwita zuzu ...ninazo screenshot za mijadara nikozipost hapa mtashangaa... nilipigwa sana ban hii ilikuwa 2022
Ikuli ni sehemu takatifu siyo pango la makahaba na wahuni.Mental case,shakahola subject
Magu alikuwa katili sio kwa kuhadithiwa na yoyote. Unaposema hakusaini kwani ni rais gani amesaini watu kunyongwa?Hapa mwanahisabati mwenzangu Lwiva alikuwa sahihi kabisa. Magufuli alikosea sana kuwa na huruma, hawa genge la mtandao walijuwa alikuwa mtu mwenye huruma, ndiyo maana wakatengeneza propaganda ya kumchafua kwa kumuita katili.
Magu hata kusaini waliohukumiwa kunyongwa alikataa, alitakiwa kufyeka mtandao wote kwa maslahi ya Taifa, sasa ona wanavyotusumbua.