Huyu jamaa anahitaji ushauri wa haraka ili kuokoa uhai wake

Wewe ndio ufanye homework, huyo jamaa anabugia hadi valuer sijui sasa utasema anaweka chai
 
Yanga😀
 
Kuna kitu nilitaka kusema, ila nikakumbuka nipo kwenye mfungo, nikawaza nikasema si vyema kumtakia mtu mapumziko ya milele, nilitaka kusema "wapumbavu kama hawa wakienda taifa linapata afadhali" ila nikakumbuka nipo kwenye mfungo
sasa nini ambacho haujasema hapo mkuu?
 
Ni kweli usemacho kinawezekana kabisa ni maji, lakini bado anahitaji msaada maana kwa nini ufanye hivi mtu mwenye akili zako timamu?
 
Hatarii..
 
Kuna kitu nilitaka kusema, ila nikakumbuka nipo kwenye mfungo, nikawaza nikasema si vyema kumtakia mtu mapumziko ya milele, nilitaka kusema "wapumbavu kama hawa wakienda taifa linapata afadhali" ila nikakumbuka nipo kwenye mfungo
Ooh, ndiyo umefikisha ujumbe kwa namna ya tisa.
Tumekusoma.
 
Kiki za mjini....

Hao wako wengi....haswa huku mabanda umiza.....
 
Hakika mkuu wangu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…