Huyu jamaa anaitwa Kuringe kaingia mjini

Naona walimtuliza, ila mtu anaepambania haki za wanyonge kwa nchi masikini hawezi kaa
Mungu mwema, bado anaishi maana watu wana tamaa sana
Kunaonekana kulikua na mpango mchafu juu yake ndiyo maana Mama kamuwai na kwenda kumficha huko Tcra ili manyangau yasimzulu, ila naamini hali ikisha kaa sawa Mama atamrudisha Aridhi!!
 
Huyu Edward M. Maarufu kama kuringe 3/4 ya ardhi nzuri na viwanja vya barabarani kanunua yeye hapa dsm.

Mikocheni lile ghorofa pale lenye ATM za crdb alinunua bila sheria kufuatwa jerry slaa alikuja kumrudishia mwenye kiwanja eneo lake.

Palemikocheni jued kwenye maduka mengi na baa ndani ya.kishua alipanunua kwa document fake mwenye eneo karudishiwa na jerry.slaa ni mstaafu wa UN world health orgz.

He is real estate mafia. Akipenda eneo huwa ananunua mkishindwana atakuja.kukushinda mahakamani.

Makonde.mbezi.beach ma hall yote.ya.harusi ni.ya.kwake. Kona baa kanunua kwa.figisu za mikopo ya.aliyekuwa akimiliki kudaiwa na benki.

Ana njia.anazotumia kupaka grisi mikono ya wanaohusika na.kesi.zake

Huyu mtu.ambaye angemuweza ni jerry slaa. Ila kwa sasa.hakuna.anayemuweza
 
Nilijua Serikali wapo serious kutatua kero za Wananchi alivyokua Slaa kwenye hiyo Wizara katika siku nilizoshangaa ni pamoja na Slaa kuondolewa kwenye hiyo Wizara Mama kama anaweza amrudishe huyo jamaa hapo bhana aachane na hao wengine huyo bwana mdogo ana uthubutu sana..
 
Huyu Edward M. Maarufu kama kuringe 3/4 ya ardhi nzuri na viwanja vya barabarani kanunua yeye hapa dsm.

Mikocheni lile ghorofa pale lenye ATM za crdb alinunua bila sheria kufuatwa jerry slaa alikuja kumrudishia mwenye kiwanja eneo lake.

Palemikocheni jued kwenye maduka mengi na baa ndani ya.kishua alipanunua kwa document fake mwenye eneo karudishiwa na jerry.slaa ni mstaafu wa UN world health orgz.

He is real estate mafia. Akipenda eneo huwa ananunua mkishindwana atakuja.kukushinda mahakamani.

Makonde.mbezi.beach ma hall yote.ya.harusi ni.ya.kwake. Kona baa kanunua kwa.figisu za mikopo ya.aliyekuwa akimiliki kudaiwa na benki.

Ana njia.anazotumia kupaka grisi mikono ya wanaohusika na.kesi.zake

Huyu mtu.ambaye angemuweza ni jerry slaa. Ila kwa sasa.hakuna.anayemuweza
Huyo jamaa ni wa kitambo sana kwenye figisu za Ardhi sema watu kama hawa wanapenda sana watu wasiokua na nguvu wao wanafanya chochote ukiingia kwenye miguu ya huyo mzala hautoki hata mahakamani ana nguvu za chini chini kama jeshi la China niliwahi kushuhudia mtu akiamishwa kwa nguvu kwenye eneo ambalo walikua na kesi nae na baadae akaja kushinda huyo Kuringe kwa nguvu za fedha vurugu nyingi alifanya 2006 mpaka 2014..
 
Worst case scenario huyu mushi ni former land officer yaani alikuwa kwenye utumishi wa.umma.

Anaweza hata akachomoa bastola hadharani. Mangi huyu ameacha vilio vingi.sana kwenye familia za watu.

Kuringe naona kule club oasis hajapastukia mapema kazidiwa.kete na.bilionea Kitenge. Kitenge anataka kumaliza mtaa wote.aununue. Wapi said.kiungani
 
Yaani;
1.Kesi iko mahakamani, na kuna zuio
2.Taarifa zimefika kwa mkuu wa wilaya (mwenyekiti wa usalama),
3.Taarifa pia imetolewa huko polisi.

Na bado kuna mtu/watu wana nguvu ya kuja kuvunja na kuharibu mali za wengine!
Hivi interejensia ya jeshi haiwezi kufanya kazi hapa? au ni kwa chadema na viongozi wake?
Kwamba mpaka sasa tayari walio husika na uvunjaji wawe wamepatikana na kukamatwa.

Kwamba raia hawana msaada wowote, mpaka wahitaji msaada wa mama!!
 
Worst case scenario huyu mushi ni former land officer yaani alikuwa kwenye utumishi wa.umma.

Anaweza hata akachomoa bastola hadharani. Mangi huyu ameacha vilio vingi.sana kwenye familia za watu.

Kuringe naona kule club oasis hajapastukia mapema kazidiwa.kete na.bilionea Kitenge. Kitenge anataka kumaliza mtaa wote.aununue. Wapi said.kiungani
Huyu Mzee Mushi si ndiyo yule Jerry Silaa alimpelekea moto wa fire kipindi kile clinic za Aridhi ziaanza!? Au huyu ni Mushi mwingine!?
 
Yaani;
1.Kesi iko mahakamani, na kuna zuio
2.Taarifa zimefika kwa mkuu wa wilaya (mwenyekiti wa usalama),
3.Taarifa pia imetolewa huko polisi.

Na bado kuna mtu/watu wana nguvu ya kuja kuvunja na kuharibu mali za wengine!
Hivi interejensia ya jeshi haiwezi kufanya kazi hapa? au ni kwa chadema na viongozi wake?
Kwamba mpaka sasa tayari walio husika na uvunjaji wawe wamepatika na kukamatwa.

Kwamba raia hawana msaada wowote, mpaka wahitaji msaada wa mama!!
Hapa napenda kumnukuu Dr Azaveli Rwaitama aliposema.juzi mambo mengine yanahitaji common sense sio mpaka waziri akuwajibishe imediate bosi wako achukue hatua haraka za kumwajibisha mhusika
 
Worst case scenario huyu mushi ni former land officer yaani alikuwa kwenye utumishi wa.umma.

Anaweza hata akachomoa bastola hadharani. Mangi huyu ameacha vilio vingi.sana kwenye familia za watu.

Kuringe naona kule club oasis hajapastukia mapema kazidiwa.kete na.bilionea Kitenge. Kitenge anataka kumaliza mtaa wote.aununue. Wapi said.kiungani
Billionea Kitenge? Kitenge huyu wa wasafi fm?
 
Huyu Edward M. Maarufu kama kuringe 3/4 ya ardhi nzuri na viwanja vya barabarani kanunua yeye hapa dsm.

Mikocheni lile ghorofa pale lenye ATM za crdb alinunua bila sheria kufuatwa jerry slaa alikuja kumrudishia mwenye kiwanja eneo lake.

Palemikocheni jued kwenye maduka mengi na baa ndani ya.kishua alipanunua kwa document fake mwenye eneo karudishiwa na jerry.slaa ni mstaafu wa UN world health orgz.

He is real estate mafia. Akipenda eneo huwa ananunua mkishindwana atakuja.kukushinda mahakamani.

Makonde.mbezi.beach ma hall yote.ya.harusi ni.ya.kwake. Kona baa kanunua kwa.figisu za mikopo ya.aliyekuwa akimiliki kudaiwa na benki.

Ana njia.anazotumia kupaka grisi mikono ya wanaohusika na.kesi.zake

Huyu mtu.ambaye angemuweza ni jerry slaa. Ila kwa sasa.hakuna.anayemuweza
Asee nimeshangaa Royal Skyline Motel ya Makonde Kuringe kamvua mtu, yule mzee mchagga naona kaenda kufungua sheli mapinga, huenda alipata hela nzuri pale
 
Back
Top Bottom