Huyu jamaa anaitwa Kuringe kaingia mjini

Jeri tapelitapeli nilimdharau zaidi alipoamuru raia akawekwe rumande morogoro. Mtu wa kujikosha sana ila hana kitu
Kuwa mkweli, mpaka kaondolewa Wizara ya aridhi hajasaidia hata mmoja?

Kumdiss mtu ambaye kasaidia watu, ni kutaka kupambana na umma.

Hiyo mikwara uliyosema kufanyika katikati ya shughuli za kupambana na matapeli ina madhara gani?
 
Nashanga wanamlaumu kuringe

Ova
 
Wanamtengenezea chuki Kuringe wakati mwenye tamaa ni aliyeuza kiwanja.

Kuringe anataka endeleza eneo lake, hayo mengine ilitakiwa aliyeuza kiwanja amalizane na hao watu waliowekeza.
Kama sijakosea huyu mzee maftah alikuwa polisi(rtd)zamani
Huko
Inaonekana kuna shida na aliyewapangisha mwanzo hapo,

Ova
 
We kenge kweli. Kuringe we unamjua leo. Mi namjua kuringe akiwa na hela mingi tangu 2000 we umemjua leo. Jamaa yupo kkoo miaka yote na kwasasa anawekeza zaid mitaan na sio mwepesi kiivyo unavyomchukulia. Na kwa taarifa yako kama kuna wachagga 10 wenye hela ndani ya nchi hii jamaa ni mmoja wao sema hutakaa ujue. Very low profile lakini ni wale watu wa kufanya kaz by nature. Biashara yake kubwa ni real estate.
 
Mie mamba kabisa wa nyongo kali, kama unamjua fika huyo Kuringe, basi mshauri tu, asije kula na kipofu akamgusa mkono.
Ushauri wa bure!
 
Kule Mapinga bagamoyo kuna mzee aliwahi leta pigo za kutaka kuvamia viwanja atoe watu ,sijui walimfanya nini ila ile stroke sijawahi kuiona dunia hii kwa umri wangu yani kiuno kilienda kushoto,kichwa kulia mabega yakaenda mbele ulimi ukatoka nje macho kodo dah wanae kuona hivyo nduki kali na alichobugi hakuwa na vithibiti vyovyote alikua anataka asumbue watu tu
 
Tatizo lipo kwa mwenye eneo na mpangaji wake wa muda mrefu wa miaka kumi.

Mwenye eneo kaingia tamaa akauza ndani ya mkataba.

Alitakiwa aongee na mpangaji wake ili amuongezee kodi.

Hii inasumbua, dada yetu mmoja aliwahi ingia mkataba wa hivyo, akajenga hotel kubwa ya kitalii kwenye njia ya kwenda mlima Kilimanjaro, elewa dada yetu huyo alikopa dollar huko ng'ambo.

Mwenye nyumba kuona pamenoga, akamwambia sitaki hii nyumba hapa, was very shocked.

Mengine yanaumiza, anyways.
 
Ilikuja kuishaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…