Huyu jamaa anaitwa Kuringe kaingia mjini

Labda hata huo mkataba wa miaka kumi maftah alirubuniwa bila kujua madhara yake, hivyo hao wapangaji wajitafakari pia, mkataba wa miaka kumi ni unyonyaji kama unyonyaji mwingine
None of that matter!! Ilitakiwa amalizane nao kwanza kabla ya kuuza ardhi yake, au wakubaliane anawahamisha kwa mmiliki mwingine.
 

Mkuu, soma vizuri uelewe mahakana imeingiaje hapo?
 
Huyo kanunua mpaka Makaburi pale Moshi na kujenga kumbi za starehe, achana nae huyo
 
Tatizo lenu wabongo huwa mnapagawa na kiki za viongozi wakiwa wanamulikwa na camera ilhali chanzo cha matatizo hakitafutiwi suluhisho la kudumu. Huyo jery slaa ni msanii km walivyo wanasiasa wengine.

Ni SAWA Mambo ya familia, yanaweza kuwepo ila pia huo mkataba na huyo mpangaji nao ni ukakasi zaidi , how mkataba for ten years!! Hapana Kuna shida, ila maendeleo ya miji yetu yanawahitaji akina Kuringe wengi zaidi
Wewe unasema miaka 10, pale Mlimani city unajua pamepangishwa kwa miaka mingapi?
 
Ninachokiona huyu maftah alitapeliwa, huwezi mpangisha MTU nae apangishe MTU mwingine bila maridhiano, huyu Dada nae anaisemea kampangisha MTU mwingine, hata NHC hii haikubaliki, Maftah katapeliwa
Hilo ni jambo la kawaida sana UDSM imempangisha mtu aliyeijenga Mlimani city naye kawapangisha watu zile frame na kumbi.
Kwasasa ghorofa nyingi za NHC zilizoko mtaa wa msimbazi NHC Wanawapanisha wawekezaji. Wawekezaji wanayabomoa hayo maghorofa na kujenga mapya yaliyokaa kibiashara zaidi kuliko Makazi. Kisha hao wawekezaji wanayapangisha kwa wafanyabiashara.
 
Kuna mdau kwetu21 hapo juu kagusia.jambo la.muhimu.sana.la.kujenhwa.fremu nyingi kuliko wateja.katika jiji la.dsm.

Mfano Mbezi beach kuanzia Rainbow mpaka kona ya kilongawima kwa mwamunyange kuna utitiri wa fremu za biashara. Nadhani hizi fremu zingine ni pesa chafu zinasafishwa kwa mtindo wa kujenga fremu japo waturuki nao.wameibuka.sana kukodi viwanja na kujenga fremu halafu rent.inakuwa.dola 700 per.month.

Wazee wa.mipango miji.sijui wamelala.wapi.usingizi niaibu.sana mji kutokuwa na maeneo maalum yaani residential, openspace kama lile eneo baa ya.didiz ilipowekwa haya.mambo yameibuka.magufuli amefafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…