Mkuu usiongee kwa kuwa kitu kinakupendeza, sheria yetu ya ardhi inaruhusu alichokifanya huyu dada
Na manunuzi aliyofanya koringe yalipasawa kulinda haki za stake holders wote walioko kwenye eneo
Tatu ,sheria hairubusu kununua ardhi iliyowekewa caveat
NNe sheria ya mikataba inataka mtu anayeingia mkataba awe na sound mind kitu ambacho kinaleta shaka kutokana na afya ya mzee maftah
Hapa kuringe hachomoki, amuulize jack ntuyabaliwe kilichomkuta kwenye mahakama ya rufaa, kule kuna majaji watatu ambao wapo zaidi ya makini ,huwa hawataki ujinga wananyoosha sheria tu ,utafanya ujinga ujinga kwenye mahakama za chini tu