Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba.
Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini ysmo.
View attachment 3395278
Ana miaka 43 lakini zilivuja humu ana miaka 53Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba.
Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
View attachment 3395278
Form four kasoma miaka 7 certificate miaka saba, diploma miaka 7 sasa kwanini asimzidi majaliwa, huyu anakimbazana na lukuviKwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba.
Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
View attachment 3395278
Makonda wa 76 , si mdogo wala si mkubwa, elewa hivyo tu.Roho mbaya na unafiki ndo unemzeesha, huyu na gambo wote 1982
1982Makonda wa 76 , si mdogo wala si mkubwa, elewa hivyo tu.
Ngoja niulize Google lens itatuambia umri sahihiKwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba.
Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
View attachment 3395278
Unataka kusema Makonda alikuwa UVCCM pamoja na hayati Horace Kolimba?Form four kasoma miaka 7 certificate miaka saba, diploma miaka 7 sasa kwanini asimzidi majaliwa, huyu anakimbazana na lukuvi
Ndio sema enzi alitumia jina la bashiteUnataka kusema Makonda alikuwa UVCCM pamoja na hayati Horace Kolimba?
DoForm four kasoma miaka 7 certificate miaka saba, diploma miaka 7 sasa kwanini asimzidi majaliwa, huyu anakimbazana na lukuvi