Huyu jamaa huenda ana umri mkubwa kuliko mzee Majaliwa

Huyu jamaa huenda ana umri mkubwa kuliko mzee Majaliwa

Mtu mzima sana tu huyu! Kuna mtoa mada alisema ana 53yrs humu, anamfahamu
 
Ndo nani eti wakuu Huko mjini daslam
maana Mimi simu yangu imepasuka kioo!?
 
Kwani uzee ni kosa la jinai?
Uzee sio kosa la jinai ila forgery ya aina yoyote ile ikiwemo umri ni kosa la jinai kwa maana una nia ovu ya kumdanganya mwajiri.

Huyo jamaa kuna watu waliozaliwa naye kijiji kimoja na mwaka mmoja sasahivi wenzake wana miaka 53 ila yeye anasema 43.

Sasa haya ni maajabu wenzako uliozaliwa nao pamoja wawe na 53 halafu wewe uwe na 43.
 
Hao wenzake waliozaliwa nae kijiji kimoja na mwaka mmoja ni kina nani?
 
Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba.

Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
View attachment 3395278
Kuna watu huwa nasikia wanasema Kuna mafuta yanaondoa makunyanzi, Swali mbona hawampi mdogo wangu huyu ?

Kijana Mdogo Sana huyu ni majukumu ya kitaifa na visiki anavyokutanavyo. Kijana ana vipengele vingi kama ungekuwa navyo basi tungeisha imba parapanda . Mwamba ana kifua, Roho ya chuma.
 
Hivi kura za maoni ni lini tupumue kidogo maana naona ngonjera zinaongezeka kila kukicha
 
Back
Top Bottom