Dogo wa 1980s huyoTatizo wanakataa ukweli kwamba wanazeeka
Kama 43 ni ya kweli anaonekana mzeeAna miaka 43 lakini zilivuja humu ana miaka 53
HiiiAna miaka 43 lakini zilivuja humu ana miaka 53
Chadema imeingiaje hapoHivi hawa chadema Wana matatizo gani?!!!!! Mbona mambo yao ni ya kijinga jinga muda wote
57Ana miaka 43 lakini zilivuja humu ana miaka 53
Huyu mdau ni fake kila kitu, kama bidhaa za Wachina Kariakoo.Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba.
Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
View attachment 3395278
😂😂🫣 thangapi umesema? thijasikia nilikuwa naoga mjukuu wangu 😂That has hvi ni Thaa nne na nuthu😁
+Albert and AntonBaadhi ya watu kuzeeka ni kutokana na kuwa na ngozi zenye mikunjo mingi, wala huyu sio mkubwa
Plus kukunja sura kila muda na ukute una ngozi ya mikunjo mbn htree sana
Mumuache Dokta Daudi Albert Bashite!Kavaa suti yake na kujipamba kwa miwani.Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba.
Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
View attachment 3395278