Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hahahah.....sikuwa nataka kucomment huu uzi. Eti hatuzeeki kwa sababu ya ugumu wa maisha. Nimecheka sana.Kwani kuzeeka dhambi? Mbona mna fanya mambo kuwa magumu wengine hamzeeki kisa ugumu wa maisha