B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 42,525 Reaction score 74,605 Jul 6, 2025 #61 Mwachiluwi said: Kwani kuzeeka dhambi? Mbona mna fanya mambo kuwa magumu wengine hamzeeki kisa ugumu wa maisha Click to expand... Hahahah.....sikuwa nataka kucomment huu uzi. Eti hatuzeeki kwa sababu ya ugumu wa maisha. Nimecheka sana.
Mwachiluwi said: Kwani kuzeeka dhambi? Mbona mna fanya mambo kuwa magumu wengine hamzeeki kisa ugumu wa maisha Click to expand... Hahahah.....sikuwa nataka kucomment huu uzi. Eti hatuzeeki kwa sababu ya ugumu wa maisha. Nimecheka sana.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Jul 6, 2025 #62 Bush Dokta said: Hahahah.....sikuwa nataka kucomment huu uzi. Eti hatuzeeki kwa sababu ya ugumu wa maisha. Nimecheka sana. Click to expand... Makonda Ana 50+ hata driven force yake ni kubwa Sana ya kuutaka ubunge na uwaziri anafikiria zaidi umri n.k.
Bush Dokta said: Hahahah.....sikuwa nataka kucomment huu uzi. Eti hatuzeeki kwa sababu ya ugumu wa maisha. Nimecheka sana. Click to expand... Makonda Ana 50+ hata driven force yake ni kubwa Sana ya kuutaka ubunge na uwaziri anafikiria zaidi umri n.k.
M Mpwimbe JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 6,342 Reaction score 13,745 Jul 6, 2025 #63 G Sam said: Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba. Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako. View attachment 3395278 Click to expand... Ni damu za watu zinamsumbua. Mtu siyo MJUSI.
G Sam said: Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba. Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako. View attachment 3395278 Click to expand... Ni damu za watu zinamsumbua. Mtu siyo MJUSI.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,220 Jul 6, 2025 #64 Gambo Acha unafiki