Huyu Jamaa naye ana jambo gani kuhusu CHADEMA, tumpuuze au tumsikilize?

Toa Maoni yako
Demokrasia inatupa uhuru wa kufanya tunavyotaka, ikiwemo na kutoa maoni yetu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu jamii. Kama wewe unavyotaka tutoe maoni yetu sasa hivi hapa jukwaani, na yeye ana uhuru wa kutoa maoni yake kwenye press conference.
(Wewe ulikacha maandamano)
 
Haki ya kujieleza ni haki ya kikatiba na kiutu.

Usikatae press conference, kataa neno litakalosemwa kwenye press conference.
Mwenyekiti "ameamua" kuiondoa hiyo haki, alikuwa ananukuu vifungu vya katiba ya chama chao wakati analaumu maamuzi ya Makamu Mwenyekiti wake kuitisha press conference
 
Hapo kwenye,abano Sasa, hahahahahaaaaaaaaaa!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…