Huyu Jamaa naye ana jambo gani kuhusu CHADEMA, tumpuuze au tumsikilize?

Huyu Jamaa naye ana jambo gani kuhusu CHADEMA, tumpuuze au tumsikilize?

Malisa ni swahiba wa Yericko. Mimi siwezi tabiri ataongea nini ila sitashangaa akiongea uharo kama wa Yericko.
 
Mwenyekiti "ameamua" kuiondoa hiyo haki, alikuwa ananukuu vifungu vya katiba ya chama chao wakati analaumu maamuzi ya Makamu Mwenyekiti wake kuitisha press conference
Hiyo haki ni ya kikatiba na kiutu iko level ya katiba ya Tanzania na International Declaration of Human Rights ya UN.

Si level ya CHADEMA na Mbowe hiyo.
 
Hiyo haki ni ya kikatiba na kiutu iko level ya katiba ya Tanzania na International Declaration of Human Rights ya UN.

Si level ya CHADEMA na Mbowe hiyo.
Kama anatumia hiyo haki kwa mujibu wa katiba ya nchi basi hatakiwi kuweka nembo ya CHADEMA kwenye hilo tangazo lake, aitishe press conference binafsi. Nafikiri hiyo ndio ilikuwa hoja ya Mwenyekiti.
 
Hiyo haki ni ya kikatiba na kiutu iko level ya katiba ya Tanzania na International Declaration of Human Rights ya UN.

Si level ya CHADEMA na Mbowe hiyo.
Una kichwa kigumu sana.

Logo ya Chadema hapo kaweka ya nini?
 
Back
Top Bottom