Huyu Jamaa naye ana jambo gani kuhusu CHADEMA, tumpuuze au tumsikilize?

Anatumia haki kama mwananchi aliye mwanachama wa CHADEMA.

Kwani nembo inakatazwa kutumiwa na wanachama?
Kwa kauli ya Mwenyekiti inaonekana kwa taratibu zao huwezi kuitisha press conference kwa kutumia jina la chama kiholela ...ni kama niwe muajiriwa wa Tanesco au TCRA kama injinia halafu niitishe press conference kama muajiriwa na niweke nembo ya Taasisi husika, je nitakuwa sawa ?
 
Mkuu sasa unapoitisha Conference kama Mwanachama unatakiwa uitishe
 
Kwa kauli ya Mwenyekiti inaonekana kwa taratibu zao huwezi kuitisha press conference kwa kutumia jina la chama kiholela ...ni kama niwe muajiriwa wa Tanesco au TCRA kama injinia halafu niitishe press conference kama muajiriwa na niweke nembo ya Taasisi husika, je nitakuwa sawa ?
Kwanza kabisa kuwa mwanachama wa chama cha siasa si sawa na kuwa muajiriwa wa kampuni.

Malisa kaandika kabisa "Mwanachama" kwa hivyo chochite atakachosema kashaweka wazi kuwa yeye anasema kama mwanachama wa CHADEMA, si kiongozi.

Sasa tuangalie facts.

1. Malisa ni mwanachama wa CHADEMA au si mwanachama?

2. Mwanachama wa CHADEMA anaruhusiwa au haruhusiwi kutumia haki yake ya kikatiba na kibinadamu kujieleza katika Press Conference?

3. Mwanachama wa CHADEMA anaruhusiwa au haruhusiwi kutumia nembo ya CHADEMA?
 
Uchaguzi wa chadema umekuwa na shamra shamra kuliko uchaguzi mkuu 2025.
Kwanini uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM hauna sham shamra kama wa chadema???
CCM wanajifunza nini?

Hali hii,ikiendelea,Kuna mbinu mpya vijana watampitisha mgombea mzuri ndani ya chadema kwenda kugombea urais na ccm itaambulia manyoa
 
Attachments

  • VID-20250112-WA0026.mp4
    9.2 MB
Back
Top Bottom