Huyu Jamaa naye ana jambo gani kuhusu CHADEMA, tumpuuze au tumsikilize?

Hayo maandamano labda wafanye mbowe na machawa wake.
Mbowe kapoteza ushawishi kwa kiwango kikubwa mno.
Tulimuunga mkono kwa muda mrefu kumbe mwenzetu anakula na watesi wetu.
Tumeshasema sasa basi!
 
Raila kaaongoza chama chake zaidi ya miaka 30 na bado yupo na Wanachama wake wako Ok, acha ujinga

Raila ndo standard ya uongozi? Naona mifano yako yote ni Kenya tu tembelea na nchi zingine ufungue huo mtindi ubongo wako, dunia sio Kenya tu.

Kama mnataka Mbowe awe kiongozi wa maisha hakuna tatizo ila msilalamike maccm nayo yakianza huo uhuni. Mkae kwa kutulia.
 
Usijali huyo ni chawa mwenzako wa mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…