Ndio mwenyewe huyoo dungaKama sikosei jamaa anaitwa Dunga ni prodyuza Mandugu digital Record.
Wajuvi watanirekebisha kama nimekosea.
Kama umeanza kufuatilia Bongo fleva baada ya Domo huwezi kumjua, ila kwa sisi Wahenga tunamfahamu kama PRODUCER DUNGAView attachment 563236
View attachment 563240
View attachment 563251
Wanaomjua watuambie huyu jamaa ni nani hasa?
Mkuu me nimenza kufuatilia long sana tangu enzi za KU CREW ila kutomjua mtu ambaye haimbi sio kosaKama umeanza kufuatilia Bongo fleva baada ya Domo huwezi kumjua, ila kwa sisi Wahenga tunamfahamu kama PRODUCER DUNGA
Binafsi huwa namkubali sana, hasa alipomalizia mwisho mwisho pale kwenye video ya Matonya - Anitha
Kwahiyo na sisi ambao sio wasanii bali ni wasikilizaji tu tunapaswa kuwajua producers ?Kama umeanza kufuatilia Bongo fleva baada ya Domo huwezi kumjua, ila kwa sisi Wahenga tunamfahamu kama PRODUCER DUNGA
Binafsi huwa namkubali sana, hasa alipomalizia mwisho mwisho pale kwenye video ya Matonya - Anitha
Unatumia kinywaji gani nikuhudumie?Kama umeanza kufuatilia Bongo fleva baada ya Domo huwezi kumjua, ila kwa sisi Wahenga tunamfahamu kama PRODUCER DUNGA
Binafsi huwa namkubali sana, hasa alipomalizia mwisho mwisho pale kwenye video ya Matonya - Anitha
Huyu jamaa huwa anaweka "vionjo" vitamu sana kwenye nyimbo, sijui kwanini asifanye kama DJ KHALID ??Anaitwa Dunga ni mtayarishaji wa muziki aliwahi kufanya kazi Mandugu Digital wakati huo ni raia wa Kenya sema ana maskani yake nchini Tanzania mara nyingi anatokea katika video za wanamuziki ambazo amehusika kutengeneza audio zake
Sent using Jamii Forums mobile app