Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
Huyu jamaa ni nani anayeuza sura karibu kila video lazima atokee???
Nakumbuka tangu miaka ya mwanzoni ya 2000s huwa anatokea karibu nyimbo zote zilizohit kwa wakati huo na sikuwahi kujiuliza ni nani ila nilifanya mazoea tu kumuona kila hit track enzi hizo
Me namfananisha na Harmorapa nikijua naye huwa anatafuta kiki tu🙂🙂🙂🙂
Sasa hata miaka hii katika nyimbo ya chege nayo katokea
Wanaomjua watuambie huyu jamaa ni nani hasa?