Wachawi wana namna yao ya kufanya mambo yao.. Huyo sio mchawi bali ana roho ya kwaniniHuyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi.
Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali kitambo tu na kwa maelezo yake hajawahi kufika oral hata moja.
Sasa me mwaka huu nilimuambia tukaze tuingie hata oral tu.picha lilianza mwaka huu mwezi wa tatu tumepiga written ya tanzania airports authority tukachemka coz marks hazikutosha,hapo kwa sababu tulidunda wote sikuona any bad sign kutoka kwake.
Then tukaja tukapiga written ya gaming board yeye akachemka mimi nikaitwa oral nikaanza kuona jamaa kama ananipa kauli flani za kejeli na kunikatisha tamaa,sikujali sana me nikajiandaa fresh tu nikapiga oral then nikatulia ila kila siku ananipigia kuniuliza vipi majibu ya oral yametoka nikimuambia sijasikia lolote mpaka sasa jamaa anaanza kuniambia hapo hutoboi fanya mambo mengine tu,nikawa nawaza huyu jamaa kaanza kuwa mchawi wangu nini?
Sasa ngoma ni ya hivi karibuni,baada ya matokeo ya tra kutoka ilionyesha mimi na yeye wote hatukuchaguliwa,nakumbuka siku hiyo mimi niliumia sana moyoni ila jamaa yeye alikua fresh tu tena ndo kwanza akanialika hadi kunywa bia,bahati nzuri tra wakatoa nafasi ya kukata rufaa,jamaa nikamwambia kuna issue za rufaa kama vipi tukate yeye kaanza tena kunikatisha tamaa,mimi nikajilipua nikakata rufaa,jamaa kila siku ananifuatilia kujua kama rufaa yangu ishajibiwa nikimuambia bado anaanza tena maneno ya kukatisha tamaa.
So jana ndo akanichosha zaidi,rufaa yangu jana ikajibiwa kuwa imekubaliwa,nikampigia jamaa kumwambia ile nimemwambia tu kuwa nimefanikiwa jamaa akajibu tu unapoteza muda then akakata simu.
Nimemuwaza sana jamaa nikajiuliza ameanza kupaa na ungo nini maana sio kawaida yake hii?
Huyo anamiliki kadi ya CCM NINI ?Huyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi.
Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali kitambo tu na kwa maelezo yake hajawahi kufika oral hata moja.
Sasa me mwaka huu nilimuambia tukaze tuingie hata oral tu.picha lilianza mwaka huu mwezi wa tatu tumepiga written ya tanzania airports authority tukachemka coz marks hazikutosha,hapo kwa sababu tulidunda wote sikuona any bad sign kutoka kwake.
Then tukaja tukapiga written ya gaming board yeye akachemka mimi nikaitwa oral nikaanza kuona jamaa kama ananipa kauli flani za kejeli na kunikatisha tamaa,sikujali sana me nikajiandaa fresh tu nikapiga oral then nikatulia ila kila siku ananipigia kuniuliza vipi majibu ya oral yametoka nikimuambia sijasikia lolote mpaka sasa jamaa anaanza kuniambia hapo hutoboi fanya mambo mengine tu,nikawa nawaza huyu jamaa kaanza kuwa mchawi wangu nini?
Sasa ngoma ni ya hivi karibuni,baada ya matokeo ya tra kutoka ilionyesha mimi na yeye wote hatukuchaguliwa,nakumbuka siku hiyo mimi niliumia sana moyoni ila jamaa yeye alikua fresh tu tena ndo kwanza akanialika hadi kunywa bia,bahati nzuri tra wakatoa nafasi ya kukata rufaa,jamaa nikamwambia kuna issue za rufaa kama vipi tukate yeye kaanza tena kunikatisha tamaa,mimi nikajilipua nikakata rufaa,jamaa kila siku ananifuatilia kujua kama rufaa yangu ishajibiwa nikimuambia bado anaanza tena maneno ya kukatisha tamaa.
So jana ndo akanichosha zaidi,rufaa yangu jana ikajibiwa kuwa imekubaliwa,nikampigia jamaa kumwambia ile nimemwambia tu kuwa nimefanikiwa jamaa akajibu tu unapoteza muda then akakata simu.
Nimemuwaza sana jamaa nikajiuliza ameanza kupaa na ungo nini maana sio kawaida yake hii?
Mi nadedicate Wimbo wa BAHATI BUKUKU. "Unapoianza safari wanakutia moyoo, unapooanyesha mafanikio vinaibuka vikwazo...."Huyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi.
Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali kitambo tu na kwa maelezo yake hajawahi kufika oral hata moja.
Sasa me mwaka huu nilimuambia tukaze tuingie hata oral tu.picha lilianza mwaka huu mwezi wa tatu tumepiga written ya tanzania airports authority tukachemka coz marks hazikutosha,hapo kwa sababu tulidunda wote sikuona any bad sign kutoka kwake.
Then tukaja tukapiga written ya gaming board yeye akachemka mimi nikaitwa oral nikaanza kuona jamaa kama ananipa kauli flani za kejeli na kunikatisha tamaa,sikujali sana me nikajiandaa fresh tu nikapiga oral then nikatulia ila kila siku ananipigia kuniuliza vipi majibu ya oral yametoka nikimuambia sijasikia lolote mpaka sasa jamaa anaanza kuniambia hapo hutoboi fanya mambo mengine tu,nikawa nawaza huyu jamaa kaanza kuwa mchawi wangu nini?
Sasa ngoma ni ya hivi karibuni,baada ya matokeo ya tra kutoka ilionyesha mimi na yeye wote hatukuchaguliwa,nakumbuka siku hiyo mimi niliumia sana moyoni ila jamaa yeye alikua fresh tu tena ndo kwanza akanialika hadi kunywa bia,bahati nzuri tra wakatoa nafasi ya kukata rufaa,jamaa nikamwambia kuna issue za rufaa kama vipi tukate yeye kaanza tena kunikatisha tamaa,mimi nikajilipua nikakata rufaa,jamaa kila siku ananifuatilia kujua kama rufaa yangu ishajibiwa nikimuambia bado anaanza tena maneno ya kukatisha tamaa.
So jana ndo akanichosha zaidi,rufaa yangu jana ikajibiwa kuwa imekubaliwa,nikampigia jamaa kumwambia ile nimemwambia tu kuwa nimefanikiwa jamaa akajibu tu unapoteza muda then akakata simu.
Nimemuwaza sana jamaa nikajiuliza ameanza kupaa na ungo nini maana sio kawaida yake hii?
Huyo si kwamba ni mchawi,ila anaweza akaelekea huko ( kwenye uchawi), hiyo ni stage ya kwanza ambayo ni husuda,, endelea kuwa nae lkn isiwe kwa ukaribu sana kama mwanzo,kuwa na tahadhari,binadamu japo si wote ndivyo walivyo,,hata katika imani zetu tunashauriwa,kuwaalika watu kwenye ndoa yako,lkn usiwaalike watu wakati unachumbia,wala usimwonyeshe mtu kwamba fulani ni mchumba wangu, maana utajuta matokeo yake.Huyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi.
Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali kitambo tu na kwa maelezo yake hajawahi kufika oral hata moja.
Sasa me mwaka huu nilimuambia tukaze tuingie hata oral tu.picha lilianza mwaka huu mwezi wa tatu tumepiga written ya tanzania airports authority tukachemka coz marks hazikutosha,hapo kwa sababu tulidunda wote sikuona any bad sign kutoka kwake.
Then tukaja tukapiga written ya gaming board yeye akachemka mimi nikaitwa oral nikaanza kuona jamaa kama ananipa kauli flani za kejeli na kunikatisha tamaa,sikujali sana me nikajiandaa fresh tu nikapiga oral then nikatulia ila kila siku ananipigia kuniuliza vipi majibu ya oral yametoka nikimuambia sijasikia lolote mpaka sasa jamaa anaanza kuniambia hapo hutoboi fanya mambo mengine tu,nikawa nawaza huyu jamaa kaanza kuwa mchawi wangu nini?
Sasa ngoma ni ya hivi karibuni,baada ya matokeo ya tra kutoka ilionyesha mimi na yeye wote hatukuchaguliwa,nakumbuka siku hiyo mimi niliumia sana moyoni ila jamaa yeye alikua fresh tu tena ndo kwanza akanialika hadi kunywa bia,bahati nzuri tra wakatoa nafasi ya kukata rufaa,jamaa nikamwambia kuna issue za rufaa kama vipi tukate yeye kaanza tena kunikatisha tamaa,mimi nikajilipua nikakata rufaa,jamaa kila siku ananifuatilia kujua kama rufaa yangu ishajibiwa nikimuambia bado anaanza tena maneno ya kukatisha tamaa.
So jana ndo akanichosha zaidi,rufaa yangu jana ikajibiwa kuwa imekubaliwa,nikampigia jamaa kumwambia ile nimemwambia tu kuwa nimefanikiwa jamaa akajibu tu unapoteza muda then akakata simu.
Nimemuwaza sana jamaa nikajiuliza ameanza kupaa na ungo nini maana sio kawaida yake hii?
- Usiendelee kupoteza muda wako kuwaza na kujiuliza, Jibu ni hili:Nimemuwaza sana jamaa nikajiuliza ameanza kupaa na ungo nini maana sio kawaida yake hii?