nbayoungboy never broken
JF-Expert Member
- Apr 20, 2025
- 383
- 372
Ni hivi huyo mtu amezaliwa hivyo achana nae hiyo tabia hawezi badilika alafu huwa wanapenda mashindano sana m yalishanikuta
Ukisema wewe hakuna wa kupingaWachawi wana namna yao ya kufanya mambo yao.. Huyo sio mchawi bali ana roho ya kwanini