Sio mchawi wala hana roho mbaya ila anakuchana tu ukweli kulingana na uhalisia na uzoefu wake! Inaonekana anatambua kabisa kwamba kutoboa huko ni kazi hivyo anapoulizia taarifa kwako kuhusu maendeleo ya application zako anataka ajishangaze kwamba kumbe inawezekana! Ila inakuwa tofauti 😀