ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Ndiyo hivyo.Eti??
Kuna walevi wengine ni shida mama...A kirani amelewa mchape viboko na umwambie akipiga kelele utamuongezea.
Anakuwa hana iibu la maana,anakuambia eti usiku anaona wachawi lakini ni ulevi tu na mawenge ya pombe nafikiri.Duuh pole mkuu, ukiongea nae kuhusu hiyo ishu vipi??
Pombe anywe yeye shida atupe sie mbona majanga.Kuna walevi wengine ni shida mama...
Anapigwa sana tu mpaka unamhurumia lakini haachi.fimbo tu, huyo.
Sasa hii si ni adhabu ya kujitakia, pesa yako mwenyewe kheri ingekuwa kweye tigo pesa.Ni shida...
Wenzako wanaona burudani we unasema adhabu??Sasa hii si ni adhabu ya kujitakia, pesa yako mwenyewe kheri ingekuwa kweye tigo pesa.
Nitafanya hivyo,asante.Pole sana mkuu,jaribu kizungumza nae politely atakuelewa tu,ikishindkana mripoti kwa uongozi wa mtaa huko atachukuliwa hatua
pole mkuu. vumilia tu mkuu. ipo siku ataacha. muombee kwa Mungu.Anapigwa sana tu mpaka unamhurumia lakini haachi.
Hii inaitwa mumo kwa mumo, hapo kuna haja ya kwenda msalani kibofu kikijaa kweli?