Huyu jirani yangu kiboko!!!

Huyu jirani yangu kiboko!!!

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Heshima kwenu waungwana.
Nina huyu jirani yangu ambaye hatuna mazowea sana,ni mwanaume. Shida yangu ni kuwa ni mlevi hatari. Kama angekuwa hapigi mikelele usiku wala nisingejali. Lakini akilewa mnakesha wote.
Wenzangu huwa mnafanya je hali kama hiyo inapotokea? Natamani kuuza nyumba nihame,lakini sijui huko nako niendako nitakuta kero gani.
 
Eti??

Au ndo huyu???

soula.jpg
 
Pole sana mkuu,jaribu kizungumza nae politely atakuelewa tu,ikishindkana mripoti kwa uongozi wa mtaa huko atachukuliwa hatua
 
Back
Top Bottom