Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

Niliwahi kukutana na davis mwamunyange kwenye foleni tena akiwa hana ata gari yenye 4 stars plate number nilimgundua alivyofungua kioo ndio nkampungia mkono CDF huyu makini kabisa kupata kutokea ktk nchi hii
Yes mwamunyange alikuwa smart ,
 
Hawa wa hawamu hii hata JW ni waoga sijui wanaogopa nini au wanafanya nini mpaka waogope kiasi hiko.

Si mpaka mkuu wa mkoa alikuwa hivyo labda ndio Tanzania mpya sie wahenga tulizoea kuona Mwl. Akisimama juu ya gari akitupungia mikono kila anapoenda airport na kurudi.

Hawa hata askari Magereza wanawaogopa wafungwa na mahabusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wameruhusiwa kisheria misafara Yao kusubiriwa , rais ni mmoja wapo , nafikiri waziri mkuu , makamu rais nao wamo, wengine sijui , labda tuulize trafik ?
 
Du gari likakataa kuwaka na mbwembwe zote hizo, vipi hukuitwa wewe kuja hapa!!! Sukuma hii gari kwa meno mpaka iwake.
 
Unaweza kukuta hata hapo Zanzibar hujawahi kanyaga halafu unazungumzia duniani kote [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Zanzibar ikifika mida ya jioni kuna ving'ora kama huko kwenu, na tunajua kabisa mida hii niwahi kabla ya muda wa misafara kufika. Kikubwa tuvumilie tu haya mambo yapo kila kona.

]Kupata hakuna kudogo
 
Mbona una jambajamba sana unatuchafulia new Burr umekula maharage ya wapi ptuu haya kalale
 
Mwaka jana alikuja RC wa Dar mkoan kwangu akiwa na.msafara wa kutosha nikajua waziri mkuu
 
Sahihi Mkuu
 
Waziri wa ulinzi ni mstaarabu, hawa wakuja waliokulia kwenye ng'ombe ndio tatizo.
Sasa kama kila siku anapita, haiwezekani tairi zikategeshewa cha kuzitoboa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu sio msafara wa kutoka kwa kimada kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri hukucheka, aibu na fedheha zingeishia kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio uwe unaamka saa 9 usiku uwahi kwenye mihangaiko yako au hama mbezi nenda kaishi Mbagala vinginevyo simamisha msafara umwambie mwenyewe unaleta unafki na majungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…