Daah umemuweza sana sanaNilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.
Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
HUyu alikuwa na tamaa alijua akifanilisha kuiba hamna kugawana vyote vinakuwa vyakeKwa kawaida vibaka huwa wawili au watatu.. Ni lazima awepo mmoja wa kuangalia usalama
Unaweza ukageuziwa kibao, omba asiwe mhaya.Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.
Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Polisi ndio mwezi wenzie ,kuliko kuwapa dili polisi wapige pesa halafu waanze kuzungusha kesi bora mmalizane,polisi wa Tanzania hawaaminiki kabisa. Kwa hali ilipo fika sasa kama u akimbizwa na majambazi hata ukiona gari ya polisi ipo hata vichochoroni bora ukimbie ziaid usiteg3me3 msaada kutoka kwa hao watu huyu IGP kaliharibu sananjeshi la polisiBora ukampeleka polisi. Kusubiria ndugu wa mwizi ni kumpa mwizi nafasi ya kujipanga.
Amnesty international.haki za binadamu hawajafika hapo kuanza vigezo vyao...UMETUMIA NGUVU KUPITA KIASI
Labda ni mlango wa mateteMlango gani huo kibaka anauvunja kirahisi tena peke yake
Hiyo dose ya mabapa ni zero kwa mwizi, angekuwahi yeye angekumaliza.Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.