Huyu kibaka hatonisahau kwa hii adhabu niliyompa

Hiyo dose ya mabapa ni zero kwa mwizi, angekuwahi yeye angekumaliza.

Ukiamua kudeal nao fanya kitu kiwe na kumbukumbu ya kudumu.
Ulishindwaje kuondoa kiganja cha mkono naye yumo ndani kwako?
Kichapo heavy kapewa na majirani,.tumempeleka police huko wamalizane nae.
 
Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.

Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Kaka pichaa ni muhimu SANAAAAAA 🤓
 
Una vituko
 
Hongera kwa kumpiga kibaka
 
kwa hali ya kawaida ulipaswa ukamatwe na polisi na kushitakiwa kwa ukatili ulioufanya …
 
Hongera sana mkuu japo hamtakuwa mmetendea haki kama akitoka apo salama na mzima.... walau mkateni break, mkateni mikono au mponde vidole au mtoboeni macho!!!!
 
Back
Top Bottom