Huyu kibaka hatonisahau kwa hii adhabu niliyompa

Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.

Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Hiyo kesi mkuu itakugeukia! Unawajua polisi wewe? Watakugeuza ATM muda si mrefu subiri unaleta ushahidi hapa. Kosa mlilolifanya ni kumwacha, mlitakiwa mmbebe mmpeleke mbali na makazi mmpoteze ili hata polisi wakiokota huko waseme ameuawa na watu wenye hasira kali
 
Hujamkata hata kiganja cha mkono, ama walau sikio!? Umemkosea huyo kenge.
 
Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.

Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Endelea kukaa naye, akifia hapo sijui utapatikana lini kutupa marejesho.
 
Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.

Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Utaniudhi sana kama hujamvunja mkono au hujamkata sikio.
 
Una roho mbaya mkuu, siku nyingine ukikamata mwizi usimpige mpe chakula na maji kwa upendo kabisa. Kitakachotokea lete mrejesho hapa JF
Wezi ni wakatili sana anaweza kuutoa uhai wako.

So ni kua standby...siku moja nimekaa maskani nasikia mwiziii mwiziii majira ya mchana jamaa alikua na mtindo wa kuiba vitu majumbani.

Picha linaanza Mimi nilikua mbele so Nika mvaa yule kipande CHA mtu nikiwa nimebeba SEPETU a.k.a KOLEO jamaa nikampa amri SIMAMA jamaa anakuja tuu 😁 Nika mrukia mjekiii JAMAA LILIKUA NA MAGUVU KAMA KIBU DENIS

SO LIKANIPITA MAANA ULE MTAMA WANGU HAUKUMZUIA TUKAWA MAN TO MAN MIMI NYUMA YAKE RAIA WENGINE WANAKUJA NYUMA YANGU MBIO NIKATELEZA MBELE YAKE JAMAA AKAWA ANACHOMOA KISU ANICHOME

YAANI SIKUA NA MAZOEZI NIKALIVAA JAMAA TUKAWA TUMEVAANA JAMAA AKAWA KAMA ANACHOMOA KITU KUNICHOMA HAKIKA SIKU ILE NDIO NILIKUA NAUWAWA KWA KISU CHA TUMBO

BAHATI NZURIII SANAA SANAAAAAA 🤓 RAIA WAKAONGEZEKA TUKA ANZA MPIGA KWA KOLEO LA KIUNO MPAKA LIKAVUNJIKA TUKAMPIGA PIGA MWISHO TUKAMPELEKA OFISI ZA MWENYEKITI

WIKI HIYO HIYO HUYO JAMAA TULIPEWA TAARIFA KUA ALIUWAWA KWENYE JARIBIO LINGINE LA WIZII JAMAA ALIKUA KIPANDE CHA MTU ALAFU INAONYESHA KUNA KILEVI KILIKUA KINAMPA UJASIRII

NILITETEMEKA SANA MAANA ILE TUPO NAE MAN TO MAN MIMI NIKATELEZA CHINI MPAKA KUNYANYUKA ANGEKUA NA KILE KISU CHAKE ANGENICHOMA MAANA HALIKUWA SIO MTU WA KAWAIDA
 
Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.

Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Safi
 
🤣🤣🤣🤣
Kuanzia leo nahakikisha sikosi dawa ya wadudu aina ya rungu nyumbani kwangu
 
mm nilistuka usingizini nikasikia km kitu kinabingirishwa nikajua tu ni jiwe la kuvunjia mlango linaitwa fatuma nikasogea mlangoni tartiiibu walipoanza kuhesabu 1,2, ile 3 wanarusha nikafungua mlango fatuma akabingirikia ndani nikafungua mlango nikarudi zangu kulala
 
Hope wewe ni mtu wa Arusha ndio tabia zenu jifunzeni kutii Sheria bila shurutii
Sawa jomba. Tutajifunza mdogo mdogo. Ila kwa kuanzia nikimkamata kibaka ndani kwangu, lazima apoteze kiungo. Inaweza kuwa sikio, kidole, jicho au hata kiungo cha uzazi. Ubaya ubwela! Kama mbwai na iwe mbwai!
 
Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.

Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Mmempiga wewe na majirani zako na anapata nguvu ya kuongea na simu😂😂

Mwizi alikuja kuiba kwako na simu😂😂 au namba za simu anazo kichwani.

Unatuchukuliaje sisi wewe binti?
 
Alipozimia ulitakuwa umuwekee makamasi kwenye tundu la kutolea mbole ,akizinduka unamwambia tembea Bro ila ukifika home just jicheck on ya back side baada mwezi kapime afya 🤣

Hiyo ni zaidi ya kipigo.
 
Sawa jomba. Tutajifunza mdogo mdogo. Ila kwa kuanzia nikimkamata kibaka ndani kwangu, lazima apoteze kiungo. Inaweza kuwa sikio, kidole, jicho au hata kiungo cha uzazi. Ubaya ubwela! Kama mbwai na iwe mbwai!
Mkuu, Kuna jera mkuu.
 
Hongera sana mkuu japo hamtakuwa mmetendea haki kama akitoka apo salama na mzima.... walau mkateni break, mkateni mikono au mponde vidole au mtoboeni macho!!!!
Kumtoboa macho ndo adhabu nzuri,harudii tena kuiba!
 
Back
Top Bottom