Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Haaahaa 😊 😃 😄Mkuh unaamini mwizi kapigwa anajadiliana kulipa mlango.
Na simu anaongea 😂😂
Haaahaa 😊 😃 😄Mkuh unaamini mwizi kapigwa anajadiliana kulipa mlango.
Na simu anaongea 😂😂
Mpiga radar.Kwa kawaida vibaka huwa wawili au watatu.. Ni lazima awepo mmoja wa kuangalia usalama
Ndiyo maajabu, hawa ambao hata ukimkata mguu au mkono hawaachi kuiba. Hapo wamemkuna tu.Mkuh unaamini mwizi kapigwa anajadiliana kulipa mlango.
Na simu anaongea 😂😂
😀😀😀 anaweza akachukulia poa huu ushauri, ila jamaa anaweza arudi na tag la watu muda ambao hata haukutarajia halafu wakapiga tukio la ajabuHama huo mtaa kama unamuacha mzima... atakurudia for revenge
Sana,hapo hakufai kabisaHama huo mtaa kama unamuacha mzima... atakurudia for revenge
ChaiNilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.
Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Picha mkuuNilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.
Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Kifo ni kifo tuJamaa katili sana,Utakuja kuuwa watu wewe kwa kuwapulizia dawa ya mbu usoni bora ungemkata kichwa