Hiyo kesi mkuu itakugeukia! Unawajua polisi wewe? Watakugeuza ATM muda si mrefu subiri unaleta ushahidi hapa. Kosa mlilolifanya ni kumwacha, mlitakiwa mmbebe mmpeleke mbali na makazi mmpoteze ili hata polisi wakiokota huko waseme ameuawa na watu wenye hasira kaliNilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.
Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Endelea kukaa naye, akifia hapo sijui utapatikana lini kutupa marejesho.Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.
Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Utaniudhi sana kama hujamvunja mkono au hujamkata sikio.Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.
Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Wezi ni wakatili sana anaweza kuutoa uhai wako.Una roho mbaya mkuu, siku nyingine ukikamata mwizi usimpige mpe chakula na maji kwa upendo kabisa. Kitakachotokea lete mrejesho hapa JF
Hope wewe ni mtu wa Arusha ndio tabia zenu jifunzeni kutii Sheria bila shurutiiUtaniudhi sana kama hujamvunja mkono au hujamkata sikio.
SafiNilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.
Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.
Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Kwani yeye alitumia nguvu kidogo kuvunja mlango?haki za binadamu hawajafika hapo kuanza vigezo vyao...UMETUMIA NGUVU KUPITA KIASI
Sawa jomba. Tutajifunza mdogo mdogo. Ila kwa kuanzia nikimkamata kibaka ndani kwangu, lazima apoteze kiungo. Inaweza kuwa sikio, kidole, jicho au hata kiungo cha uzazi. Ubaya ubwela! Kama mbwai na iwe mbwai!Hope wewe ni mtu wa Arusha ndio tabia zenu jifunzeni kutii Sheria bila shurutii
Mmempiga wewe na majirani zako na anapata nguvu ya kuongea na simu๐๐Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango.
Jamaa akafanikiwa kuingia ndani ile anaingia ndani tu nikamspray na dawa ya kuua wadudu usoni kwake akaanguka chini nikampiga na mabanzi ya sime mgongoni kisha nikamtoa nje akiwa hajitambui ndio nikaita majirani hapa wamemmwagia maji ya baridi kazinduka wamempiga kinoma,hapa mimi nimemwambia haondoki bila kunifidia mlango wangu aliouvunja ndio yuko anahangaika kupigia ndugu zake waje tuyamalize.
Mkuu, Kuna jera mkuu.Sawa jomba. Tutajifunza mdogo mdogo. Ila kwa kuanzia nikimkamata kibaka ndani kwangu, lazima apoteze kiungo. Inaweza kuwa sikio, kidole, jicho au hata kiungo cha uzazi. Ubaya ubwela! Kama mbwai na iwe mbwai!
Mtandaoni jfWapi hiyo imetokea?
Kumtoboa macho ndo adhabu nzuri,harudii tena kuiba!Hongera sana mkuu japo hamtakuwa mmetendea haki kama akitoka apo salama na mzima.... walau mkateni break, mkateni mikono au mponde vidole au mtoboeni macho!!!!
Mkuh unaamini mwizi kapigwa anajadiliana kulipa mlango.Mkuu, Kuna jera mkuu.