Huyu kibaka hatonisahau kwa hii adhabu niliyompa

Hama huo mtaa kama unamuacha mzima... atakurudia for revenge
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ anaweza akachukulia poa huu ushauri, ila jamaa anaweza arudi na tag la watu muda ambao hata haukutarajia halafu wakapiga tukio la ajabu
 
Chai
 
Ngumu kuamini hi stori, kwa navowajua wabongo picha isinge kosa ili kujimwambafai


Fullstop, kwishaaaaaa
 
Jamaa katili sana,Utakuja kuuwa watu wewe kwa kuwapulizia dawa ya mbu usoni bora ungemkata kichwa
 
Picha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…